Hapo Mkuu ndo huwa nachoka timu yangu. Ila tumetupia cha 3 Sterling!
Hawa jamaa hawatabiriki kabisa, hapa dk 90 ndiyo itaamua hili game
Hapo Mkuu ndo huwa nachoka timu yangu. Ila tumetupia cha 3 Sterling! Sasa hili sijui litahesabiwa kwa Sterling au OG!