Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

umesema ukweli mtupu na hii ndio inawatafuna PSG kwa sasa, wapo wachezaji wanajituma kisawasawa uwanjani aafu mishahara yao kiduchu aafu hawa wauza sura Neymar, Mbappe wapo wapo tu kama vile wao wapo ki star zaidi ya wengine...
 
hahaha like serious ndugu uweke nyumba hivi hivi lol...ishu ni kwamba PSG hawana mpango wa kumuuza labda ndogo aamue mwenyewe anataka kusepa basi watafanya biashara...
Ha ha ha ha nilichomaanisha ukiwa na mbape,Salah,mane,firmhno...uhakika wa kombe Zaid ya moja ni asilimia 100..maana kwa Hali ya kujiamin tuliyonayo halafu ukaongeza mchezaji tishio na bet nyumba mkuu...

Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
 
hahahaha you have made my night bro...aaa nyumba wala siwezi kuibetia hata aje Messi na CR7 cz mpira at tymz is just damn crazy....case study Liverpool 4 Barcelona 0
 
The lads have made us very proud, hakuna kipindi chenye raha kama hiki kuwa mshabiki wa Liverpool FC.

Next season will be more exiting.

Ngoja nitafute jezi zote za home and away, plus one sneaker by New Balance i.f.o Kawhi Leonard.
kabisaaa hizi jerzey zinahitajika kua nazo ni namna pia ya kui sapoti timu, yajayo yanafurahisha...
 
well in some way wapo sahihi ukiangalia vikosi vya 1990 kurudi nyuma wengi walikua ni Waingerez, Norway, Scotland n.k...sasa zama zimebadilika wale wa enzi hizo kazi kazi hawapo tena hivyo kuwakubatia tutaambulia nafasi ya 7 ...walijaribu japo kwa mbali King Daglish, Roy Hundson na hawakufanikiwa kamwe...

kwa sasa ukitaka mafanikio.kupiga full mixa Africa, Europe, Asia, N /S America ndio utapata balance ya kikosi...
 
£250m and £400K per week just for Mbappe? Big No
kwetu hakunaga huo u super star siamini kama kweli anaweza kuja...

Fentway Group upande wa mishahara wapo very conscious hawakurupuki...

labda anunuliwa kwa ajili ya biashara nje ya uwanjani ambapo kipato kitakua maradufu...
 

Yeah, Deco is his main advisor/consultant.

Think, he wont be tempted that much na Real madrid, because alishacheza kule and it was like a hell to him, maybe Barcelona or PSG, kama waki-offer silly money.

but, currently na sisi ni moja ya project kubwa sana in europe, so we shouldnt be worried, for now.
 
sure kabisa for Barcelona labda mwakani after that curfew expires, na wanaweza kuanza mchakato wa kumridhi Busquet and this boy suit that rol damn well..

but in the mean tym yuko mahala sahihi kabisa hivyo am positive atabakia...

Real are buying everyone mwishowe itakula kwao endapo kuuza kutasuasua...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…