masterjuly77
JF-Expert Member
- Jun 29, 2009
- 221
- 173
mkuu kama uliona Allison baada ya ile gemu walimkubatia kweli kweli hata Klopp amesema mchango wake ni super super contribution...
he is the best stopper.
Hizo hela baadhi wafanye mpngo kidg na ss mashabiki tupate japo kidogoTumeingiza £250M kwa haki za matangazo ya television kwa msimu huu",. Hakuna timu ya uingereza yoyote kuwahi kutoa hiki kitita kwa haki za matangazo ya tv kwa msimu. Mechi za LFC zimeoneshwa mechi 29 za epl mara nyingi zaidi ya timu yoyote.
Bajeti tosha ya signing wa this summer
helo helo helo Coutinho wherever you are you are walking alone now",..
Allez Allez Allez
YNWA YNWA YNWA..
hili kombe linawachoma sana mtafukua makaburi kama yoteeee
Ni moja ya usajili bora chini ya Klopp..akifanya mazoezi kuboresha footwork yake atakua bora sana na sana uzuri most of th players day by day wanazidi kua bora...am positive he wil maintain hii haliYeah. Alituokoa Sana Kwenye League Na European Champions League.
Kitu Nashangaa, Mbona Allison Beker Hatajwi Kabisa, Wakati Kaweka Clean Sheet 21 Premier League Na Zaidi Ya 6 Uefa Champions League!
kama unahisi ni genge acha kuwasikiliza kwa sababu unawasikiliza unawakubali, sign off
Mkuu shinda ya hawa pundits wa bongo wanaongea mno mpaka kupitiliza aafu wengi sidhani hata kama uwanjani waliwai cheza mpira..Washabiki wa mpira huwa hatupendi watu wazikosoe timu zetu.
Wale watu wako kazini, na ile ndiyo kazi yao.
Hakuna pundit au football analyst ambaye predictions zake ni 100%, ni opinions tu.
Labda tu baadhi wanakuwa na zile emotions za kishabiki.
Mkuu shinda ya hawa pundits wa bongo wanaongea mno mpaka kupitiliza aafu wengi sidhani hata kama uwanjani waliwai cheza mpira..
ma pundits wakueleweka wengi ma juu ni wachezaji wa zamani hivyo hata ukiwasikiliza au kuwasoma utaona nondo za nguvu..kwa mfano Garry Nevile aliwai kumwambia Klopp hatashinda kombe lolote akiwa na wale makipa wake wawili Simon na Karius na akiweka facts japo Klopp alijifanya kupuuza lakini mwisho wa siku ilibidi amlete Allison na ubingwa huu hapo na mazuri mengi...
Sidhani kama pundits wa Bongo ni wabovu kiasi hicho, nadhani ni lile swala la nabii hakubaliki nyumbani.
Neville huyo huyo amewahi kupewa timu, wote tunajua alichokifanya.
Ukiangalia comments za international forums mfano za Liverpool utakuta wanamponda sana Neville kwamba hajui kitu, anatumia ushabiki nk.
Kitu nachoona iwe Ulaya au Bongo, washabiki tunapenda kusikiliza upande ambao unatusifu.
Na swala la kina Karius halihitaji Pundit kuona kwamba jamaa ni vimeo, mtu yeyote anayetazama mpira lazima ashangae kwamba hao ndiyo makipa!
Nadhani utakuwa hujawahi kuwasikiliza Wachambuzi wa Bongo.
Baada ya kufungwa 3 na Barcelona Mourinho alisema kuwa Liverpool anaweza kupiga Comeback na kusonga mbele.
Lakini wachambuzi wa Bongo walisema hilo haliwezekani.
Halafu wachambuzi wenyewe ni kina Shaffih Dauda ambao wanachambua mapenzi ya timu zao badala ya mpira wakati mchambuzi anatakiwa awe Neutral.
Kuna baadh wapo kiushabiki na s wachambuz wa mpira ila wengne wanachambua vzuri nikianza na clouds fm kwa pale anayejua kuchambua ni JEF LEYA wengine n wapga domo tu MAGIC FM yupo GEORGE AMBANGILE Huyu jamaa yupo vzuri asipokuwepo Huyu hawaon tabu wakamuweka hata dj wao achambue mpira hapo ndipo wanapo haribu EA AFRICA RADIO kuna TIGANA LUKINJA Hao n baadhi kwa upande wangu at least unaweza kuwaskiliza