Pain . Unganisha vilabu vyote vys EPL jumlisha makombe yao ya UCL hawajamfikia Liverpool(6th). Jumlisha man u na wadogo zake wote.Liverpool mmeteseka sanaa jangwan na ukame wa makombe sasa mmepata haka ka uefa kwa mbinde
Imekuwa kama mbwa mwenye njaa kali kaachiwa, mnaanza kutupanda kichwan hadi sisi kaka, zenu
Msimu ukianza tutaongea lugha moja
together we stand when we fail we stick together n come back strongly...the NERVER SAY DIE spirit that what drives us Liverpool fans, when others see failure us we see opportunity to mek wrongs to right n here we are blazingggggg red hotMsimu uliopita pale Kiev tuliukosa uchampion. Tulibaki wamoja Hadi tumebeba kombe Bora kabisa la vilabu Bora vya Ulaya.
Na mwakani tunaenda Istanbul kubeba Tena.
Hongera the reds.
Achana nae hajui mpiraKuna jamaa humu kamkosoa, loh
wachambuzi wanaojielewa sio hawa wa kibongo sijui huwa wana beti au...Rio Ferdinand: "This team is going to be a feared team in Europe. Nobody wants to pull this team out the hat or play at Anfield."
Bongo hakuna mchambuzi zaidi ya Dr. Licky Abdallahwachambuzi wanaojielewa sio hawa wa kibongo sijui huwa wana beti au...
duh namkumbuka enzi za ITV kwa kweli pamoja na vituko vyake alijitahidi sanaBongo hakuna mchambuzi zaidi ya Dr. Licky Abdallah
Zama zinarudi.hahaha usinikumbushe straika Lambert, Baloteli yaaani ilikua timu ya ajabu sana wachezaji wa middle or end table ndio walikua tegemezi kwetu...
Kloop kweli effect yake ni beyond reach hata fan bass ya Liverpool imezidi kuongezeka,wachezaji wanavyomheshimu maana he is very hard working coach..haya yote leo tunayaona sababu ya plan zake taratibu anaanza kula matunda..kejeli zote sasa kwishenie...
kiuchumi by th tym tufike 2022 tutuakua nyuma ya manu na naamini bu 2025 tutakua tumewapiku manu maana wamekua headless chicken kwa sasa..
hili la ubabe wengi wanaliogopa sana kufukilia Liverpool ile ya Bob inarudi si habari njema ndio maana muda mwingi its Liverpool aganist 17 combined EPL teams...hehe tumewachapa vya uso hakika...
Klopp effect taking control
hahaha ki ukweli nilidhani alivyoodoka Buvac the brain tutapata shinda sana but on th.contrary imekua blessing in disuguise somehowly maana we no longer play pressssssing footbal ambapo tutafunga 4 na sisi tutafungwo 3 na hapo wachezaji walikua wanatumika mno maana ni high intensity mechi zote..Zama zinarudi.
Kuingia hatua ya 16 bora timu za spain niliogopa kupangiwa na Liverpool na Dortmund.
Klopp amejifunza nn maana fainali. Sio muda wote mbio mbio was a payable tricks and plan.
Angeendelea kuamini kwenye mazoezi tu bila big sign (VVD ALLISON FABINHO ROBBO) angeyasikilizia kwa jirani.
hapa sasa naona mpaka Bruno Fernades anapedelea zaidi uchezaji wa Liverpool..Zama zinarudi.
Kuingia hatua ya 16 bora timu za spain niliogopa kupangiwa na Liverpool na Dortmund.
Klopp amejifunza nn maana fainali. Sio muda wote mbio mbio was a payable tricks and plan.
Angeendelea kuamini kwenye mazoezi tu bila big sign (VVD ALLISON FABINHO ROBBO) angeyasikilizia kwa jirani.