Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona kila utabiri unaipa Liverpool nafasi ya kutwaa ubingwa ila msibweteke mnatakiwa kujituma ipasavyo ndani ya kiwanja kuhakikisha mnafunga mabao mengi.

Niwatakie ubingwa mwema

Maana naamini hamtatoka patupu Leo labda mshindwe wenyewe tu kwa uzembe wenu. Lakini kila kitu kiko upande wa Liverpool Leo

Muhimu mjitume kila kizuri huja kwa jitihada na itatakuwa ni aibu kama mtatoka kapa Leo
 
Ha ha ha kuna watu wanahangaika na REDS, baada ya mechi watapotea wiki hapa
ANGALIZO: Spurs hana chakupoteza katika mechi ya leo,wakati huohuo Liverpool wameenda namatokeo yao vichwani mwao,mwaka huu historia inaonyesha kuwa msimu huu ktk mashindano haya timu zote zilizokuwa zimeenda na matokeo kichwani hakuna hata moja iliyofanikiwa,mfano:
1.Psg vs Man U
2.Mancity vs Spurs
3.Bayern vs Liverpool
4.Ajax vs Spurs
5.Liverpol vs Barcelona
6.Chelsea vs Arsenal
Kuna kila dalili za mtu mzima kuaibika leo mwenye akili ataelewa namaanisha nini.
 
Hawa ndo watu wanaojua maana ya mpira penye mpira mzur lazima uweje ushabik pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwangu hili bandiko ninahisia kali tutalifukua Liverpool akiingia na mentality ya kuifunga spurs kila mara .Ntarudi baada ya mechi hapa ntasoma comment tu
 
Sawa nyie endeleeni na njozi zenu
 
Mm nimeeelewa mkuu io mbona ipo wazi
 
the citizens wote wapo kwenye maombi Spurs aibuke mshindi leo...ajabu nyie mmeshindwa sasa mmebakia wapiga ramli..

ni masaa machache tu kidume the real Reds of UK akabidhiwe kombe lake..

twende taratibu usije jipiga ban humu
 
mkuu whoeva wins is th best in Europe.club level hata wasiposema huo.ndio.utakua ukweli..
 
Shukrani ndugu Mangi
 
duu well noted...hopefully n somehowly we aint in that category.
 

Mkuu usijipe shida, hili kombe tulishamalizana nalo toka Barca alivyopigwa goli la 4.

Hawa Tottenham hawana chao, game ilisha isha hii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…