OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuna amini vijana watapambana ili usijipige ban maana tutakuwa na wasi wasi Sana Labda itakuwa umeshachukua maamuzi magumu..Shukrani Mkuu, hii mimi kwa upande wangu ni kukamilisha ratiba.
Ikitokea cha kutokea itabidi nijipe ban ya Mwezi mzima humu JF.
Hahahahahahahahahahahaha aweke tu au siyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe siumesema unataka kuweka laki 4 kwa Spurs Weka tu
Betting ni vita ya kiuchumi kati yako Wewe mchezaji na Muhindi, Mtu kama huyo jamaa hawezi kuelewa hizi Principles sasa ili akili imkae sawa na aache hizi tabia za kimwajuma mwajuma aweke hiyo lakini 4 kwa Spurs asubiri atapata Jipu gani.Hahahahahahahahahahahaha aweke tu au siyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho ndio siku rasmi kwa washabiki wa l'pool kuichukia VAR .
Nataka spurs washinde kwa sababu najua hawatasema " we are the best team in europe"
COME ON SPURS...
Alisikika mlevi mmoja akisema haya jana.
Sasa kwa sababu mmemzarau spurs kuanzia wachezaji mpaka mashabiki.
Kesho mtaichukia spurs kuliko timu yoyote kama mm navyoichukia.
Shukrani Mkuu, hii mimi kwa upande wangu ni kukamilisha ratiba.
Ikitokea cha kutokea itabidi nijipe ban ya Mwezi mzima humu JF.
Kijana Embu tuliza miwasho yako, umeambiwa nataka kuweka laki nne na nan??Betting ni vita ya kiuchumi kati yako Wewe mchezaji na Muhindi, Mtu kama huyo jamaa hawezi kuelewa hizi Principles sasa ili akili imkae sawa na aache hizi tabia za kimwajuma mwajuma aweke hiyo lakini 4 kwa Spurs asubiri atapata Jipu gani.
Kwenye mpira hakuna bahati na ndio maana ukaitwa ni mchezo wa makosa. Utaniambia Man City alibahatisha kuchukua EPL au ni makosa yenu ndio yalimpa kombe?Mkuu Arsenal ilikuwa ni kuwapa moyo tu ila ww na Arsenal wate vilema mpira mlicheza mbovu ambao hata ndanda hawachezi hivyo sema bahat ilikuwa yenu
Kuhusu spurs sio swala la kuficha ficha yaan tunamgonga sio chin ya goli mbili mpira utadunda pengine lkn sio kesho
Najaribu kuwaza timu zilizochukua kwa mara ya kwanza ilikuaje.Kwa faida yako na ya wengine pia, rudi nyuma uangalie statistics za UEFA.
Ikitokea timu mbili zitaingia fainali, asilimia kubwa 85+ itakayochukua ile ambayo imeshawahi kuchukua.
Hili kombe haliendi ugenini, linapajua nyumbani kwake.
Kubali kataa siku ile mlicheza mpira mbovu sanaaaa yaan kama walevi na hata Arsenal wangetulia pale golin kwenu wangeliweza kufanya comeback sema wao wenyewe ni mazwazwaEakuu kuweni na akiba ya maneno naona wengine wanafikia mpaka kusema wanaenda kukamilisha ratiba kwamba mmeshachukua kombe. Nasubiri nioneView attachment 1113583
Waza tu lkn bingwa anaonekana mpk sasaNajaribu kuwaza timu zilizochukua kwa mara ya kwanza ilikuaje.
Najaribu kuwaza timu zilizochukua kwa mara ya kwanza ilikuaje.
[emoji3][emoji3]Tutafia uwanjani, Tukishinda kuna sherehe nimeandaa ,hapa dar
Eakuu kuweni na akiba ya maneno naona wengine wanafikia mpaka kusema wanaenda kukamilisha ratiba kwamba mmeshachukua kombe. Nasubiri nioneView attachment 1113583
Usiwe kama Aroon bana kubali matokeo usije enda na yako mfukon
Mkuu umelewa au?90' Four minutes have been added.
90+4'. And the referee indicates its a corner. And then Eriksen with the corner.
90+5. LLORENTEEEEEEEE OOOOOH WHAT A HAND HEADER AND ALLISON DROP THE BALL INTO HIS OWN NET. IT'S PAINFUL BUT HE MAKES SPURS 3 liverpool 2.
96' OH what is going on the referee is called to check the VAR. It seems like it was a hand ball.
98' IT'S A GOAL OOOH WHAT A MOMENT,,,
Sasa ulitegemea nin kama mnacheza mpira wa kidada UEFA Inahitaji roho mbaya city UEFA hana tofauti na PSVKesho ndio siku rasmi kwa washabiki wa l'pool kuichukia VAR .
Nataka spurs washinde kwa sababu najua hawatasema " we are the best team in europe"
COME ON SPURS...
Alisikika mlevi mmoja akisema haya jana.
Sasa kwa sababu mmemzarau spurs kuanzia wachezaji mpaka mashabiki.
Kesho mtaichukia spurs kuliko timu yoyote kama mm navyoichukia.