Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Katika pitapita zangu mitandaoni,kuna mchezaji m1 nimemwona, anacheza ligi ya marekani kwenye klabu ya DC, club anayocheza pia Rooney. Anaitwa Luciono Acosta. Ni muArgentina. Kwa sasa ana miaka 24. Ni kiungo mshambuliaji. Jamaa yupo vizuri, kwa maoni yangu huyu angetufaa. Naamini hata bei yake haitakuwa kubwa na pia hawezi kukataa kuja kucheza ligi kuu ya england.
 
Tatizo kloop umemjulia liverpool, kijana usipende league ambazo huwezi

Uliangalia game la europa final klop na sevilla ?

Je final na madrid?

Utagundua kitu, kama unafuatilia soka
This is too shallow... If you judge klopp Kwa hizo two games then you are no better than the person you are trying to smart ass

Look to his work at Mainz
 
M nitoe tahadhari matokeo yapokeeni kama yatakapo kuwa
Msije kuanza kumrushia vilago kocha
 
Spurs ni unpredictable team mkuu. hapo alipofika hakuna aliyedhani atafika. Ile final so haitakuwa rahisi kihivyo mkuu.
 


Bobby Firmino barked this threat before we thumped Porto 5-0 away last season.

I echoed this bark early this month before we thrashed Barca at Anfield 4-0.

am saying it again ahead of our tomorrow's showdown vs Spurs....

let's all sing this Bobby's chorus today for tomorrow. come on you Reds!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…