Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
naona lile goli aliowafunga home linawasumbua...but his work rate is just awesome any team would welcome such a signing but th boy is happy at Anfield...Psg ni wehu. Wanajaza watu tu bila kuwa na matumizi nao. Watupe Pastore na Maquinhos tuwape Firmino.
Kama cty akishinda FA leo tunapata nafasi ya kucheza nae community shield mwanzo wa msimu
Umetumia kanuni ipi?Nahisi atacheza na watford hao hao
Umetumia kanuni ipi?
City akishinda leo atacheza na mshindi wa pili kwenye ligi (EPL).
Kwa hiyo mwaka huu tunaweza chukua vikombe vi4
Community Shield ni kisahani kile, siyo kikombe.
suti itakua ile ile ila ataichovya rangi ifanane na UCLKuna Mtu yule aliyeandaa Suti ya EPL naona simuoni hapa?
"Liverpool wakibeba ubingwa wa uefa wala sio habari, wameshabebela mara tano, kubeba ya mara ya 6 kawaida tu maana hakuna anayeshindana nae katika hilo. Tatizo lipo yeye kubeba ubingwa wa ligi, hilo halikubaliki, ni mwiko"[emoji23]
Maneno ya Wayne Rooney
City akishinda leo atacheza na mshindi wa pili kwenye ligi (EPL).
kabisa this Fentway Group and Klopp crew has done excellent job at this prestigious club.Most valuable squads across Europe according to a report by CIES.
Man City - £1.2bn
Liverpool - £1.2bn
Barcelona - £1.0bn
Tottenham - £991m
Man United - £888m
Just a reminder that Liverpool FC was on the brink of bankruptcy back in 2011. Appreciate Jurgen Klopp and FSG. View attachment 1101157
Rooney ni zilipendwa hana jipya.."Liverpool wakibeba ubingwa wa uefa wala sio habari, wameshabebela mara tano, kubeba ya mara ya 6 kawaida tu maana hakuna anayeshindana nae katika hilo. Tatizo lipo yeye kubeba ubingwa wa ligi, hilo halikubaliki, ni mwiko"[emoji23]
Maneno ya Wayne Rooney
du Mansour billions damn spending like cash s going out of fashion..Transfer spending deficit since 2008. ($ million)
Manchester City: 1359
PSG: 937
Man United: 786
Barcelona: 742
Chelsea: 614
Real Madrid: 560
Juventus: 479
Bayern Munich: 447
AC Milan: 385
Liverpool: 369
(Transfermarkt)
du Mansour billions damn spending like cash s going out of fashion..
Wametutoa pabaya sana now tupo stable kabisa na pesa tunayokabisa this Fentway Group and Klopp crew has done excellent job at this prestigious club.