loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
ndio maana nasema huyu binadamu anasumbuliwa na unafiki yani hata hajielewi anachoandika eti anatuuliza msipochukua kombe mtafanya nini mbona sisi hatuulizi wasipopata top 4 watafanya niniMbona hueleweki mara vvd anabebwa na defence line ya timu nyingine kuwa mbovu
mara vvd ni usajili mzuri wa klopp brother vp
jibu lako zuri sana kama ana akili ya kutafakari ila kwa kuwa yeye ni empty set huenda asipate cha kujifunzaHahaha, so tamko la David Moyes ni SI Unit kwako?
Energy unayoitumia hapa ingeweza kusaidia Chelsea kucheza UEFA next season, ila ndiyo hivyo, ni bora mshinde kwa majirani maana home kwenu hakueleweki.
Halafu ukumbuke, ukiona adui anakusifu jua kuna mahali unakosea, ila akiponda jua unamtesa.
hata CCM nao utawasikia wanapiga kelele hivi hivi "Mbowe out!"..... utadhani ndiye mwenyekiti wao!Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?
Klopp Out....
hii maneno mujarab kabisa!Whateva th outcome il be hope we keep our main players n sign direct 1st 11 players to have th right squad to challenge all for th grabs come next season...
In everything give THANKS...IF MOTHER LUCK GIVES US EPL TROPHY I WILL SAY THANKS, IF WE ARE BLESSED WITH UCL TROPHY WILL SAY THANKS, N IF BOTH ELOPE WILL STILL SAY THANKS FOR THE GOOD TYMS TH BOYS PROVIDED...
Kuna sehemu kichwani hakupo sawa unamfananisha klopp na sari,!?kwa Dunia ya Sasa ukimtoa pep nadhani klopp Ni kocha anaetamaniwa na kila timu regardless ya makombe aliyobeba..Kuna wakati timu inahitaji ushind na falsafa KLOPP ameleta falsafa Yale Liverpool na timu yetu inaeleweka of coz tunaumia ndio maana unaona humu watu wakitoa ushauri/kupingana/kurekebishana yote hayo ni mapenz tu kwa chama letu LFC, Kama ulikuwa unashabikia mpira mwaka05/06 LFC inachukua UBINGWAUefa kwenye ligi hatupo top 4.tulicheza na Ac Milan lkn sisi ndio tulionekana undergod,angalia kipind hiki Liverpool Ni moja ya timu tishio duniani ambayo Ni ndoto ya kutisha kwa kocha yyt kukutana nayo..Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?
Klopp Out....
hahahaha mbona povu jingi mkuu ..uyo Klopp hajafika hata level ya Antonio Conte kimafanikio halafu unasema ni kocha bora?! kumfananisha na Sarri unasema sina akili? Au kufanikiwa kuitoa Liverpool kwenye kuishia nafasi ya tano/sita uko kila msimu ndo unaona ni mafanikio kwako. Misimu kadhaa apo nyuma Liverpool mmeshiriki Europa na mko uefa kwenu ni achievement kubwa sana. Uyo Klopp ana laana ya wajerumani maana aliondoka Dortmund kwa dharau kubwa tu ..kubeba ligi Mara mbili bundasliga hakuoneshi ubora wowote wa Klopp.Kuna sehemu kichwani hakupo sawa unamfananisha klopp na sari,!?kwa Dunia ya Sasa ukimtoa pep nadhani klopp Ni kocha anaetamaniwa na kila timu regardless ya makombe aliyobeba..Kuna wakati timu inahitaji ushind na falsafa KLOPP ameleta falsafa Yale Liverpool na timu yetu inaeleweka of coz tunaumia ndio maana unaona humu watu wakitoa ushauri/kupingana/kurekebishana yote hayo ni mapenz tu kwa chama letu LFC, Kama ulikuwa unashabikia mpira mwaka05/06 LFC inachukua UBINGWAUefa kwenye ligi hatupo top 4.tulicheza na Ac Milan lkn sisi ndio tulionekana undergod,angalia kipind hiki Liverpool Ni moja ya timu tishio duniani ambayo Ni ndoto ya kutisha kwa kocha yyt kukutana nayo..
NB: KLOPP HANA MAPUNGUFU HATUKATAI ILA NI KOCHA AMBAYE AMERUDISHA HESHIMA YA LIVERPOOL KWA KIASI KIKUBWA HAO MAKOCHA BORA WACHUKUENI NYIE SISI BADO TUNA IMANI NA KLOPP,,,, MOURHINO KAENDA MAN UNTD NA VIKOMBE KABEBA BADO MMEFUKUZA BINADAMU HAJAWAI RIDHIKA.KIBAYA CHETU(KLOPP)TUNAKIPENDA,KIZUR CHENU(!?)KAENI NACHO.
Klopp hajawahi kupewa timu ambayo Ina wachezaji ambao wameshatengenexwa tofauti na hao makocha wako tokea yupo Mainz Kama unaijua vizur historia ya klopp. Ni kocha anaejua Nini anataka kwa mchezaji na atakipata vip ndio maana huoni ajabu Leo wachezaji wote waliopita mikononi mwa klopp Ni lulu duniani... OLLACHUGA ukocha sio makombe tu mkuu,kikosi alichonacho pep ata Sean dyche anaweza chukua nacho ubingwa huyo Conte kafukuzwa kwa aibu kisa ujinga wa kazinguana na waganga njaa,..klopp Ni level za Wenger na hata Ferguson ana jicho Kali na uwezo wa kumbadili mchezaji.kama una uelewa utaelewa ila Kama hauna utabaki kuleta ubishi tu.hahahaha mbona povu jingi mkuu ..uyo Klopp hajafika hata level ya Antonio Conte kimafanikio halafu unasema ni kocha bora?! kumfananisha na Sarri unasema sina akili? Au kufanikiwa kuitoa Liverpool kwenye kuishia nafasi ya tano/sita uko kila msimu ndo unaona ni mafanikio kwako. Misimu kadhaa apo nyuma Liverpool mmeshiriki Europa na mko uefa kwenu ni achievement kubwa sana. Uyo Klopp ana laana ya wajerumani maana aliondoka Dortmund kwa dharau kubwa tu ..kubeba ligi Mara mbili bundasliga hakuoneshi ubora wowote wa Klopp.
Angekuwa bora kama angebeba vikombe kama Pep na sio kuishia kujenga timu kwa miaka minne kuishia kuleta ushindani kama Tottenham.
Klopp bado ni average coucher..
Kwa hiyo tumchukue Unai?Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?
Klopp Out....
Ni Joginho tu ndiye atakayepata mafanikio ndani ya ChelseaSioni kama VVD atapata mafanikio yeyote apo Liverpool ..chini ya Klopp Liverpool hawatavuna kombe lolote lile..
VVD uyo msimu huu mambo yamemuendea vizur kwa sababu backlines za timu nyingine hazikuwa njema kabisa.. mf Chelsea, Man city, Man u..kama zingekuwa fiti jamaa angefunikwa sana..
Ni moja ya usajili mzuri sana Klopp ameufanya msimu huu. Ila akitaka mafanikio zaid aondoke Liverpool..
Kocha bora bila makombe unakuwa bado hujadhibitisha ubora wako..hana tofauti na Sarri kwa sasa. Au tuseme msimu ujao utakuwa wa kwake? Kama msimu huu timu haziko vizuri zaid ya man city tu anaelekea kushindwa itakuwaje kwa msimu ujao timu zikijipanga?
Klopp Out....
This is so wrong.Klopp hajawahi kupewa timu ambayo Ina wachezaji ambao wameshatengenexwa tofauti na hao makocha wako tokea yupo Mainz Kama unaijua vizur historia ya klopp. Ni kocha anaejua Nini anataka kwa mchezaji na atakipata vip ndio maana huoni ajabu Leo wachezaji wote waliopita mikononi mwa klopp Ni lulu duniani... OLLACHUGA ukocha sio makombe tu mkuu,kikosi alichonacho pep ata Sean dyche anaweza chukua nacho ubingwa huyo Conte kafukuzwa kwa aibu kisa ujinga wa kazinguana na waganga njaa,..klopp Ni level za Wenger na hata Ferguson ana jicho Kali na uwezo wa kumbadili mchezaji.kama una uelewa utaelewa ila Kama hauna utabaki kuleta ubishi tu.
NB:Jaribu kunitajia wachezaji waliotengenezwa na pep na conte wamekuwa ma star duniani...halafu tuendelee.
Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
Hoja hupingwa kwa hoja...hata tafiti pia hupingwa na tafiti.This is so wrong.
unatakiwa uelewe/ujue kwanza tactical approaches za kocha aina ya Dyche ili upate uhakika kuwa atafanikiwa na aina ya wachezaji wa Man City or even LFC.Hoja hupingwa kwa hoja...hata tafiti pia hupingwa na tafiti.
Yani mashabiki wa Liverpool ni sawa na Zahera anayeamini simba ndo anaweza kupoteza mechi na Yanga akawa bingwa, hivi nyie liver mna guarantee ya kushinda mechi zote zilizobaki?bado ninaamini match ya mwisho kati ya brighton na man city itakuwa draw-na hapo ndipo tutakuwa wabingwa wapya wa EPL
Haijalishi japo inaweza kuwa na maana kidogo ila kwa ukubwa wa kikosi na Aina ya wachezaji iliyonayo kocha yyt mwenye kujielewa anafanya nayo vizur,huwezi kuniambia kiss Ni Sean dyche basi ukimpa hii timu ya man city atakuwa anahangaika nayo mkiani kujiokoa na kushuka ligi kuu au itakuwa nje ya top ten simply sababu ya tactical approach yake.unatakiwa uelewe/ujue kwanza tactical approaches za kocha aina ya Dyche ili upate uhakika kuwa atafanikiwa na aina ya wachezaji wa Man City or even LFC.
Pep anacheza mpira wa aina gani?Haijalishi japo inaweza kuwa na maana kidogo ila kwa ukubwa wa kikosi na Aina ya wachezaji iliyonayo kocha yyt mwenye kujielewa anafanya nayo vizur,huwezi kuniambia kiss Ni Sean dyche basi ukimpa hii timu ya man city atakuwa anahangaika nayo mkiani kujiokoa na kushuka ligi kuu au itakuwa nje ya top ten simply sababu ya tactical approach yake.
ANWAYS NILIKUWA NAPINGANA NA ANAYESEMA SARI AN CONTE NI MAKOCHA WAZUR ZAIDI YA KLOPP.