Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi lile shuti na asisti ndo inamfanya awe bora kuliko wote?

Mbona nimeona alivyotoka yeye ndo tim ikapata utulivu?
 
Mkuu Aspirin...wewe ni mkongwe wa JF...wako wapi Dada zako Afordenzi, na wezake? I know Dema Amsi alitakungulia mbele za haki! Wale wengine wako wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wameolewa na wengine wamebadili ID baada ya kutendwa. Angalia usije ukatongoza ID mpya ukajua mgeni... utashangaa unakutana na mkongwe mwenzio chumbani LOL
 
Mmemaliza game zenu tafu zote, sasa hivi mnateleza tu, kuna kati ya man u au tot atamzuia city, au wote

Yohana 3:16
 

Najua anampigia kampeni aendelee kubaki Captain, hizi sifa anazompa zitasababisha tumwone kituko.

Amsifu tu Hendo kama Hendo, ila asijiingize kwenye Topic ya Captain Gerrard.
 
Missed the whole game..

How did we play?

Guys, talk to me about Fabinho and Keita..

Nimeona tu qoutes za Klopp on Fabinho, how was Keita?
 
Tungekuwa na points-gap za kutosha kama Klopp angekuwa ameachana na ile “Brexit MF” mapema zaidi.

But, i’m glad ameona umuhimu wa Faby and Keita now. Ndiyo kitu kikubwa nilichokuwa nahitaji kutoka Kwake, because tangu mwanzo wa msimu, tulikuwa tunasema kuwa, these are kinda players ambao watatuletea trophies at Anfield.

We’re controlling games with ease now kwa hii MF, the bigger test was today, na kwa jinsi nilivyosoma articles/Klopp presser na posts za fellow reds on here, it seems we controlled the Chelsea MF kuanzia mwanzo mpaka mwisho..


 
Really need to watch this game..

This one, got to be the best DM perfomance kwa msimu huu..

I’m hyped.

 
Hendo getting MOTM shouts!!!

Hope he was good today..

Happy for him man..

Got a lot of sticks for playing shit at 6 (deserved because he was holding the team and Club back), but if anacheza vizuri kwenye 8 role na kuisaidia team, we should praise him aswell..
 

What happened to Salah now?

Dude is scoring for fun now (back on his scoring form)..



Ohooooo!!! Klopp ameamua kuanza kumchezesha our natural line breaker/dribbler from the middle.


Our very own African prince.
 
Please somebody, share the clip inayomuonesha Keita, aki-mpress Kante, na kuchukua mpira..


Got so hyped na ile clip, cant wait to watch the game man..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…