OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Baada ya dakika 90 tukutane hapa
Hamna haja ya kukimbiana,sisi ni wana michezo!
Nani hapa HAYAOGOPI majogoo?
Tukutane baada ya game tusalimiane kidogo!
Tulia ivyo ivyo, utakula maneno yakoNasema mzimu ule ule ulioxima ndoto za Liverpool pale serhust park na ukamliza Suarez Leo utatenda Tena maajabu yake na watu hawataamin watakachoona,
Kama Gerrard aliteleza katika mechi Kama hii na Leo naamin Chelsea atalipa machungu yetu wana Liverpool maana huwa wanatupania Sana uzuri man city ataanza kucheza kabla yetu..NARUDIA TENA CRYSTAL PALACE NA CHELSEA NDIO WALITUNYIMA UBINGWA 2014,NA LEO NDIO WATATUPA UBINGWA RASMI...
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mane hatatembea kabisa ..Emerson ata fanya kazi yake..Game kama hizi Mane lazima awe main man. Mipira mingi iende kwake na sio kwa Mo salah. Mane ni very aggressive ukimlinganisha na Salah. Hata ikiwezekana Mane acheze false 9. Tutembee na counter Mara nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
unatapa tapa unategemea Liverpool atashindaKwahiyo unataka ashinde Chelsea?
Mm kwa huwez kuniapangia mapenz ya moyo wangu,
Napenda Leo liver akucharaze za kutosha
Yohana 3:16
Ndio nategemea hivo, maana kiungo ni jojino ambaye hawez mpira wa kasi, ulimi unakuwaga kama tai,
Mkata umeme wenu siku hiz si jojino mapasiLeo mane hatatembea kabisa ..Emerson ata fanya kazi yake..
Luiz yupo kwa ajili ya Salah ..mkata umeme Kante atanizuilia Firmino na Keita ..hao wengine ndani ya dkk wataruka ruka tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwatisha wenzako, subir baadae baada ya mechi ndio uje utambe au ujipige banTulia ivyo ivyo, utakula maneno yako
historia lazima ijirudie hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa. ...Mna mbwembwe nyie jamaa
Bobby will be great kama akucheza false nineGame kama hizi Mane lazima awe main man. Mipira mingi iende kwake na sio kwa Mo salah. Mane ni very aggressive ukimlinganisha na Salah. Hata ikiwezekana Mane acheze false 9. Tutembee na counter Mara nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aache visingizio vya kijinga akaze tuLinapokuja Suala la Timu za Manchester Kutaka Ubingwa, Everton na Chelsea hutoa Free Three points kwa timu hizo na Wanapocheza na Liverpool huwa Kinyume chake"
Jimmy Carragher
Good thought mkuuNasema mzimu ule ule ulioxima ndoto za Liverpool pale serhust park na ukamliza Suarez Leo utatenda Tena maajabu yake na watu hawataamin watakachoona,
Kama Gerrard aliteleza katika mechi Kama hii na Leo naamin Chelsea atalipa machungu yetu wana Liverpool maana huwa wanatupania Sana uzuri man city ataanza kucheza kabla yetu..NARUDIA TENA CRYSTAL PALACE NA CHELSEA NDIO WALITUNYIMA UBINGWA 2014,NA LEO NDIO WATATUPA UBINGWA RASMI...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]
Unaongea sana we jamaaAnfield tuna historia nzuri sana pale Mara ya mwisho kufungwa sikumbuki ilikuwa ni msimu upi, iyo inanipa uhakika zaid wa kushinda gemu ya leo. Sisi hatutaki kujua nani atabeba ubingwa ..tunataka point tatu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app