sisi wa mobdro channel gani wakuu??
We need 2 more goals kuweka hesabu sawa
Mmeshashinda tayar tangu mchn...msubr tu man na barca
Yaani wewe huna confidence kwa City ila kwa Barca unayo?
Confidence ipo juu sana..city huyu anaesumbuliwa na tot tuliompiga kwake atunyime amani sis? Nyie subrin mshind kati ya Man u na Barca
Sawa, hata hivyo ningetamani kukutana na nyie ili nifike fainali bila kutumia nguvu sana.