Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hendo leo kafanya walale mapema "wavimba macho"
Klopp kocha wa ukweli sana
Mungu ampe maisha marefu
 
Ushindi wetu mkuu. #YNWA
Mimi nawashangaa sana nyie Liverpool, hata kama mna tofauti kwa nini mnaanza kuitana kuwa wengine wana Mungu na wengine wana Shetani. Huu ni ushabiki au vita. Mnajenga nyumba moja au kila mmoja na lwake?
Kumbuka penye wengi lazima mtofautiane, na mkitofautiana haina maana nyie sio washabiki wa Liverpool
 
Wana Liverpool HALISI leo vijana wanaenda kucheza mechi muhimu sana ugenini
Tuzidi shikamana,mambo mazuri yanakuja
Najua WAVIMBA MACHO wanaiombea team vibaya ili wamseme kocha!
Lkn wameisha shindwa,sisi tuna Mungu wao wana shetani
In Klopp we trust!
Mimi nawashangaa sana nyie Liverpool, hata kama mna tofauti kwa nini mnaanza kuitana kuwa wengine wana Mungu na wengine wana Shetani. Huu ni ushabiki au vita. Mnajenga nyumba moja au kila mmoja na lwake?
Kumbuka penye wengi lazima mtofautiane, na mkitofautiana haina maana nyie sio washabiki wa Liverpool
 
Also the lack of praise for matip is disgusting , the guy makes van dijk look like Titus bramble on the ball . Every time he creates a chance the commentators credit van dijk for it , weird
That would be funny , if two coaches are in the final have no clue about tactics .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawa wameshachanganyikiwa ..wanaona kabisa msimu mwingine huu wanatoka tena kapa ..unategemea nini apo? Lazima waheuke banaa...hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…