Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Hata tukiingiza na mchezaji mmoja wa nyiongeza,Pep amewaambia watoto wake wwacheze kama mashine.
Uzembe mlioufanya nyie ni kuwaacha wawatangulie point moja.
Wale watoto tutawala nyingi. Sisi atutegemei ushindi wa timu kujifunga.kwa kutegemea Hazard pekee ndio mbebe Europa...ningependa fainali ukutane na Ganaz
Karibu.....ni kelele humu et wanakuja kwako kukuonesha wako serius
Bashiteeeeeeele capitainnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn hahahahahahahahahaha aongezewe mkataba huyu mtu
Sasa hat ukimtukana kwani anakusikia? Unajichumia dhambi za bure tu
Next game kwenye ligi ni wewe...naona Jorginho akila nyekundu...Wale watoto tutawala nyingi. Sisi atutegemei ushindi wa timu kujifunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa una subiri msiba hahahahahahahahah
Wew nin wew!! Ni kwamba huamin au ni vp? Au hujui mpr una matokeo matatu? Mbn kushinda ni kitu cha kawaida sana na siyo mpk ujitoe akil hiv wakat unajua kila mtu anaangalia mech hii
cjaangalia mpira ila nimefurahi ulivyompongeza umenikumbusha ile methali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Sent using Jamii Forums mobile app
ukimuona Fabi uwanjani ondoa wasiwasi ndogo ana zali la ushindi akianza...Southampton 1-3 Liverpool. Wow!bet won. Nilikuwa na wasiwasi sana.
Na hiyo mechi moja ndy point 1 mnayoikimbiza kila siku....hiyo point mtaandika kwa mkonoMbona unanipangia cha kuandika,?
Kama kushinda ni kawaida mbona timu yako aishindi?
Mbona unateseka hivi,ulikuwa unaweka uchawi hapa na tumeshinda utawala wa Liverpool umerudi mtaumia sana roho safari hii.
Msimu mzima mpaka sasa Liverpool kafungwa mechi moja tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acheni yoga nyie, kakomaeni mpate kuingia Top 4