Liver mwaka huu magoli yanayotokana na offsides ni mengi mno. Salah alikuwa offside wakati anapiga cross.
Msimu ujao VAR kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio Liverpool Manciti, Chelsi na kadhalika wamefaidika kukokosekan kwa VAR..Liver mwaka huu magoli yanayotokana na offsides ni mengi mno. Salah alikuwa offside wakati anapiga cross.
Msimu ujao VAR kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kuona Fabinho na Keita wameanza tayari nikaziona point tatu zetu ziiiiileeeeeeeeeee
hii gemu ngumu sana hawa mandogo tangu huyu kocha aje wamebadilika sana...Naona keita anafunga goli lake la kwanza akiwa na liverpool. Msimu ujao VAR ipo kazin
Lakini kuna mwenzenu humu anasemaga Man City inatoa pesa ili ibebwe..!sio Liverpool Manciti, Chelsi na kadhalika wamefaidika kukokosekan kwa VAR..
muulize kocha wa Cardif atakupa machugu yake..
Unataka nini kwani? Basi 1-0Marefa wanahitaji msaada zaidi..!
Kuna mtu humu yeye anaangaliaga magoli ya Man City tu,ikitokea kuna shida kidogo hachelewi kusema Man City inahonga marefa...
Ila goli kama hili la Liverpool hauwezi kuona analizungumzia..!
Jamaa wako compact sana katikati. They are also good at second balls.Switch to 4231 in the 2nd half.
433 is not helping us at the moment.
tukumbaliana marefa ni binadamu ndio VAR inakuja kuwapa sapoti...Lakini kuna mwenzenu humu anasemaga Man City inatoa pesa ili ibebwe..!
Switch to 4231 in the 2nd half.
433 is not helping us at the moment.
Yule mzee aliumia sana aiseesio Liverpool Manciti, Chelsi na kadhalika wamefaidika kukokosekan kwa VAR..
muulize kocha wa Cardif atakupa machugu yake..