Kuna sehem nimeona wanampigia chepuo hendo acheze na faby.wakisistiza apatikane namba kumi halisi itakayo gawanya mipira.Ni Gini-Milner-Hendo tu wala usijiporezee muda kuwaza..
Fabinho awasubiri kina Cardiff na Westham ndiyo game size Yake za kuanza..
Lakini Game kubwa siyo size Yake akae pembeni awapishe wapambanaji wa Klopp
I saw that man! kama mara mbili hivi i saw him beside klopp talking.. All in all element ya kuwa champions pia wanakua na mwendelezo wa kuwa lucky
Ukiangalia game vs fulham then na hii vs tottenham bado hatujaclick vizuri!! Ila i hope for the best in this last few games
naona upepo umegeuka mpo nafasi ya ngapi vileIla unaimani na mbowe?
ishu ni pale ma pundits wanamsifu Fabby basi ujue mechi inayofuata Klopp atakwenda na Hendo+Milli+Gini...Tukumbuke pia analipwa kucover hizo weakness za hao mido,all in all Klopp need to keep faith to other important players
Sent using Jamii Forums mobile app
i guesss hawa jamaa wenye majina ya Pep ni soccer wizard...I will be called a hater, but the truth is it was Pep Lijnders who won us that game against Spurs.
We started that game with 433, then in the 2nd half when Poch switched to 4 at the back, Klopp went for 442, and it was laughable bacause he switched to 442 with 2 limited CMs in the centre (Hendo and Milner), and played Gini as RW, it was a bad in-game management, and tuliona jinsi Spurs walivyotusumbua after these tactical switches, they were all over us, Then kama mliona, Pep Lijnders got to Klopp ears multple times kwenye sidelines, Then Fabinho got told kufanya warm-ups, then suddenly akarudishwa bench, Lijinders akamfata Klopp tena, i guess this time alimweleza kiurefu zaidi kuhusu umuhimu wa kuswitch tena formation, baada ya hapo Faby and origi wakaingizwa and we quickly switched to 4-4-1-1, and ending up having a little control kwenye mid, and blocking spurs passing game in 2nd transition phases and luckly getting control of the game.
If not for Lijnders, Klopp wouldve subbed on Faby/origi kwenye dk 85, muda ambao Spurs wangekuwa wameshaongeza goal, kwasababu kiukweli ile second half mpaka dk ya 78-79 walikuwa on top of us..
What Lijnders did siku ile, ndiyo kitu kilichofanya Klopp afanikiwe zaidi akiwa na Buvac, because ukiwa na msaidizi ambaye anaweza kusoma mchezo hasa pale Manager unapokuwa na pressure kubwa, ni faida kubwa sana.
Muda huu ambapo games zina-presha sana because we cant afford to drop points, unahitaji kina Ljinders wa-step up, kumsaidia Manager, because mambo yakiwa yanaenda vibaya, Manager anakuwa ana-panick kwasababu anakuwa anafikiria vitu vingi sana kwa wakati mmoja, kwahyo hata kusoma mchezo inakuwa ngumu sana. Ndiyo maana unamuona Pep guardiola kila muda huwa anaongea na Arteta kwenye bench, and i cant lie Klopp and LFC are giving Guardiola a hard time man. We just WONT go away.
if Lijnders cant convince Klopp on team selections, basi ni vizuri aendelee kufanya kama alivyofanya na spurs. tunaweza tukashinda a lot of games kwa mtindo huu.
Huge props to him.
Hao Liverpool hawana uwezo wa kushinda mechi zao zote.Kazeni buti wakuu wa Anfield huu ni mwaka wenu
fixtures ya Man city ni ngoma nzito, wasipojiondoa FA watapoteza points Aprili hii na Liverpool mnaweza ku overtake kirahisi kwa sabbau mechi zenu nyingi ni za nyumbani mpaka mechi ile ya mwisho na Mbwa Mwitu wale wabaya. Ila timu ya kuiogopa kuliko zote ni Cardiff kwa sababu wale ni wafa maji, atakayekuja mbele yake hana cha kupoteza ni kujitoa mhanga tu
Hao Liverpool hawana uwezo wa kushinda mechi zao zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man city haitegemei kupoteza mech kwakuwa INA mechi nyingi ,man city atapoteza mchezo iwapo atabanwa,Kazeni buti wakuu wa Anfield huu ni mwaka wenu
fixtures ya Man city ni ngoma nzito, wasipojiondoa FA watapoteza points Aprili hii na Liverpool mnaweza ku overtake kirahisi kwa sabbau mechi zenu nyingi ni za nyumbani mpaka mechi ile ya mwisho na Mbwa Mwitu wale wabaya. Ila timu ya kuiogopa kuliko zote ni Cardiff kwa sababu wale ni wafa maji, atakayekuja mbele yake hana cha kupoteza ni kujitoa mhanga tu
HahaaaaaaWe jamaa angalieni msije cheza Futuhi tena mwakani!
Hawa lazima wacheze futuhiWe jamaa angalieni msije cheza Futuhi tena mwakani!
Unachezesha wewe?Kesho tunahitaji kushinda ili tuendelee kuwepo kwenye hizi mbio, tena angalau hata goli 3 ili morari iongezeke zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app