Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Jamaa anajua , aliziba nafas huku anakaba ,Duh ila huyu VVD sijaona weaknes yake mpk sasa labda mniambie ndugu
Jana alivyo kifanya wakat yuko na zile forwad mbili za spurs tunakila sababu ya kusema SOTON tuwape
Pesa nyingine zaid
13SEPTEMBER
Mkuu game ngumu siioni tena kwa sasaDah naona kama sisi mechi tulizobaki nazo ni ngumu kuliko za man city, vipi wadau mnaonaje je tunatoboa kweli, sema mapambano yanaendelea ni lazima huu msimu tunyanyue Kikombe
Repent *4 cause we're two steps away from a real disaster, think there is a boss but a who are the master?life set a pace, everything's much faster need to slow down and pray, forgive them
Mkuu niaje habari za masiku
Mm naona kaweka pamba masikioni na miwani ya mbao
Mkuu niaje habari za masiku
Natoka kucheki Liverpool echo news aisee acha tu klop mbishi sana kuna mjadala mkubwa sana kuhusu kutoanza kwa fabby
Halafu atakuja mjinga mmoja hapa na soccer management hao wenye akili huko duniani wanaona kabisa klop anakosea kutomwanzisha fabby na wanaweka wazi kabisa mido ya hendo ,gin ,milner imefeli
Na ni muda wa Hendo kukaa benchi
Mm naona kaweka pamba masikioni na miwani ya mbaoView attachment 1060040
hivi hizi statistics henderson na klopp hawazioni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ila huyu VVD sijaona weaknes yake mpk sasa labda mniambie ndugu
Jana alivyo kifanya wakat yuko na zile forwad mbili za spurs tunakila sababu ya kusema SOTON tuwape
Pesa nyingine zaid
13SEPTEMBER
pochettino kamrushia kijembe klopp haswa pale pochettino alivyosema hakutumia gharama zozote za usajili ila timu yake imecheza vizuri na timu ambayo imewaweka bench midfielder wawili wenye gharama za euro 100 million
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mkuu jaribu kuangalia hii Kauli Kwa Upana Zaid"
Ikiwa Manure atshinda Mechi Zake
Palace atashinda Mechi Zake
Na sisi tutashinda Mechi zetu
Vipi hatuna nafasi ya kubeba ubingwa?
Lakini hesabu za kumpangia sasa Manure amfunge Man City apo ndiyo meaningless.
Mkuu Klopp katufelisha from the Beginning sasa imekuwa shida kufight back.
"Kila Mtu Ashinde Mechi Zake"
Uko sahihi kabisa
Sioni ManCity akipoteza mechi yoyote kati ya zilizobaki
We blew up the opportunity back in December/January
LIVERPOOL TIMU YA HOVYO KUTOKEA sawa tu na mbagala markt au nazareth ya njombe
EwalaaUmefurahi Baada yakusema hivyo?
Sent from my iPhone using JamiiForums