OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Mmekuja kuwa timu ya kutegemea msaada wa timu zingine zishinde ili mnyanyue kwapa ..hii inaonesha jinsi gani looserfool ilivyo fungu la kukosa..hahahaHapo tunamtegemea Man U
Leicester na Crystal Palace siwapi karata yangu
We have Bottled though
Uliandika uku umebana makalio kabsa wakati unaandika ujinga tuHello Kops kwa wale Liverpool feki na halisi pia.
Leo ni siku yetu ya kubaki on top permanent, siku muhimu inayoenda kupalilia mbegu ya furaha yetu ya 13 may mwaka huu.
Fulham anaenda kumuuwa City, iwe isiwe either kwa draw au kipigo cha mbwa koko, Man city anaenda kupunguzwa na kuwa nyuma yetu.
Tukutane badae kufurahia. #YNWA
Hapo tunamtegemea Man U
Leicester na Crystal Palace siwapi karata yangu
We have Bottled though
hata makazi yake ni Liverpool.
Anfield kuna mawili, adiha tumpige 3 au atoke ni draw...yeye kushinda ni ndoto
Wee pambaña ushike nafasi ya tatu maana Europa sisi tunachukua..Leo ni kuiombea mema liva tu hamna namna...Na kesho tumpige newcastle....Maisha hayaendi bila fitna
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
tupo nafasi ya pili, wewe ya 6 nani aliepoteza mwelekeo nduguKwa sasa atupigi ramli ..ni tunangalia tu upepo unaelekea wap ..kwa sasa ukicheki looserfool ni kama inapoteza mwelelekeo ivi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnabeba ni ramli kama kawaida yako rudi hapa baada ya kuichukua uwanjani na si huku kwenye mitadao....Sisi tutabeba Europa tena ..wewe upo ueropa misimu zaid ya minne na hukubeba hata moja..
Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi kutegemea Citi apoteze ili tunyakue ndoo basi ni kupoteza muda.....inatakiwa tushinde mechi zetu zote zilizobaki endapo Mciti watapoteza inakua ni blessing in disguise.Baada ya Kuwa kimya kwa Majuma Karibia Mawili kutokana na Kuwa Mimi si Mshabiki Wa Timu Za Taifa, leo nimeamua kurejea Kwenye Uzi huu Na Nimekuta kuwa ile kauli ya Man City Atadrop Points" inaendelea kuwamisslead washabiki wenzangu wengi tu.
Wakuu haya ni Mawazo yangu:
√ Liverpool yupo katika uwezekano mkubwa zaidi wa kudrop more points kuliko Man City.
√ Ubingwa unapatikana kwa Kushinda Mchezo yako na si kusubiri Man City adrop points.
na hio Manu wakicheza na Citi kama walivyocheza jana basi sahau kua Manu atashinda maana watakula kabang ya wiki.Hapo tunamtegemea Man U
Leicester na Crystal Palace siwapi karata yangu
We have Bottled though
Man u kumgunga city ni ndoto ya Pierre liquid kuwa mkuu wa wilayana hio Manu wakicheza na Citi kama walivyocheza jana basi sahau kua Manu atashinda maana watakula kabang ya wiki.
hapo tupo sawa...Pep huyu baada ya sisi kupoteza pointi za kutosha na hatimae Citi kutupiku atafia uwanjani vs Manu.Man u kumgunga city ni ndoto ya Pierre liquid kuwa mkuu wa wilaya
Unajua nn captain,swala la kutokuiombea mabaya city haliepukiki maana hata tukishinda mechi zote zilizobaki na wao wakishinda zao basi wao mabingwa...so tunashinda halafu tunaanza kuombea mabaya ndio tunachofanya Sasa!!!na si unakumbuka hata wao walikuwa wanaomba hivyo hivyo kipindi tuna point nyingi juu so twende tu pamoja na KAMATI YA ROHO MBAYAupo sahihi kutegemea Citi apoteze ili tunyakue ndoo basi ni kupoteza muda.....inatakiwa tushinde mechi zetu zote zilizobaki endapo Mciti watapoteza inakua ni blessing in disguise.
ni sawa Pep baada ya kile kipigo gemu ya Newcastle naona jamaa alikimbilia kanisani kutuombea mambaya..Unajua nn captain,swala la kutokuiombea mabaya city haliepukiki maana hata tukishinda mechi zote zilizobaki na wao wakishinda zao basi wao mabingwa...so tunashinda halafu tunaanza kuombea mabaya ndio tunachofanya Sasa!!!na si unakumbuka hata wao walikuwa wanaomba hivyo hivyo kipindi tuna point nyingi juu so twende tu pamoja na KAMATI YA ROHO MBAYA
Sent using Jamii Forums mobile app