Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mungu asaidie tumtoe porto...halafu maajabu yatokee man untd amtoe bacerona...huyu kiumbe sio mtu mzur hata kidogo khaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

GREATEST PLAYER TO EVER SET A FOOT ON PLANET EARTH.

IMG_1552859565.556240.jpg
 
Ha ha ha wanaangalia recent form ya mchezaji husika kaka plus hizo rating nadhani ni according na mech inayoongelewa.

Kiatu Cha dhahabu kwa form ya salah hivi karibuni mmmhh ngoja niweke akiba ya maneno...kwenye hili nachagua kusimama na MANE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli salah anachowaza ni kiatu sio timu. Kuna chance moja jana timu imecounter fresh upande wa kushoto kuna wenzake kama 3 na beki 1 akaamua kwenda kulia ampige chenga beki mwingine ili afunge. Asiwe mchoyo atulie tu magoli yatakuja. Na aangalie video zake za last year aangalie alivyobaki na kipa alifungaje maana now anampa kipa kila mpira

ni sahihi kwa hii soccer anayocheza Mane sioni wa kumzuia kukimbizana na Kun ufangaji bora...

ndogo aliona Salah kapoteza makali akaamua ni wakati wake sasa...yupo vizuri kwa kuja kuokoa jahazi angalau kaja wakati mwafaka...

Mane anajua kujiposition...
 
Kweli salah anachowaza ni kiatu sio timu. Kuna chance moja jana timu imecounter fresh upande wa kushoto kuna wenzake kama 3 na beki 1 akaamua kwenda kulia ampige chenga beki mwingine ili afunge. Asiwe mchoyo atulie tu magoli yatakuja. Na aangalie video zake za last year aangalie alivyobaki na kipa alifungaje maana now anampa kipa kila mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu zote zenye kubeba makombe kama yote hua wanacheza kwa ushirikiano sana, sasa Salah yeye siku hizi akipewa pasi lazima ataka machenga mengi mengi na ni kama mabeki washajua huyu anapiga na kushoto hivyo wanambana mno kiasi amekua hivi alivyo...

si mara ya kwanza yeye kua na nafasi ya kutoa pasi na badala yake akaamua kupiga chenga na mpira akanyang'anywa..

aidha anawaza kiatu au la basi kitamgharimu maana Mane huyooo anakuja kimya kimyaaa.
 
Lile boko alilotoa van dyk na alison angelitoa HENDERSON SIJUI KUNGELIPUKAJE HUKU

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ni kwasababu ya Uwezo wa mchezaji mmoja na Mwengine
Hata Pogba timu ya taifa ya Ufaransa atakavyokosa Penalty watu watakavyoreact ni tofauti na atakavyokosa Giroud
Hata Origi atakavyokosa Nafasi ya wazi watu watakavyoreact ni tofauti na atakavyokosa Mane.

Hii ni kutokana na Prone error ya mchezaji
 
Sky Sports Statto

@SkySportsStatto
📊Liverpool have dropped points against only 1 of their remaining 7 opponents in PL this season (drew v Chelsea & beaten Tottenham, Southampton, Cardiff, Huddersfield, Newcastle and Wolves)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom