MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Me too, I was fond of his game, unfortunately it did not workout with us.
We can go back, na kuangalia the way alivyo kuwa treated. So sad.
Check his recent interview about his time at LFC.
Me too, I was fond of his game, unfortunately it did not workout with us.
no favors today...race is on
Huwa nakumbuka Cl match vs Arsenal 4-2 na ile issue ya jezi na refa Webb
Sent using Jamii Forums mobile app
after a tiresome game at Bayern this win is damn big for us...We won ugly
his head is painted or dyed Red...he stil has t..had a nice gameHahahahahahaha!
I loved the fact, kuwa hakushangilia alivyofunga lile goal.
Still one of us.
We can go back, na kuangalia the way alivyo kuwa treated. So sad.
Check his recent interview about his time at LFC.
Niliiona hiyo interview, nadhani ni baada ya kurudi EPL.
Upo sawa kabisa ila je hao watakao letwa watatumika?mkuu tunahitaji mfungaji real striker kama Kun..n we need someone like Fekir to open stubborn teams...lakini pia ukweli hatuna depth ya kupambana makombe yote manne kwa mpigo..hivyi benchi lote la sub lifumuliwe uza Moreno, Daniel,Origi, Hendo n.k
Yeah, Though huwa naumia sana kuona VVD anavua kitambaa anampa henderson au Milner wakiingia kutokea bench
Obviously milner man!!Guys, In a must important game, and we get a Pen dk za majeruhi, nani utampa apige?
Milner?
Salah?
Trent?
Fabinho?
wakipewa nafasi wakajituma kama Fabi alivyojituma na kusubiri nafasi yake nao watacheza ndugu...Upo sawa kabisa ila je hao watakao letwa watatumika?
Milner, ila inabidi tutafute mbadala wake incase hayupo. Next season hatujui atapata nafasi kiasi gani ya kuanzaGuys, In a must important game, and we get a Pen dk za majeruhi, nani utampa apige?
Milner?
Salah?
Trent?
Fabinho?
man il go wt Salah..Guys, In a must important game, and we get a Pen dk za majeruhi, nani utampa apige?
Milner?
Salah?
Trent?
Fabinho?