absolutely!Cool cool sir,
We in these forums come from different cultures, different schools of thoughts, different level of education as well as knowledge level, and those have so much effect on our thinking and analysis of information.
So we should know how to accept the differences and appreciate it.
We all can't think the same.
Ahahaaaah...This is the only way to avoid your insults and humiliations
Inatokea, tunatakiwa kuelewa tu kwamba kutofautiana kupo.
Mwanzo mlienda vizuri, then nikaona kama mnaingiza egos and personalities, na hapo ndipo panaharibu discussions.
This is an open forum, kama Liverpool HALISI na trashes zake tunamvumilia, wengine hatuwezi kushindwa kuvumiliana.
JF inaturuhusu kuficha utambulisho wetu,lakini inashindwa kuficha tabia zetu..!Cool cool sir,
We in these forums come from different cultures, different schools of thoughts, different level of education as well as knowledge level, and those have so much effect on our thinking and analysis of information.
So we should know how to accept the differences and appreciate it.
We all can't think the same.
JF inaturuhusu kuficha utambulisho wetu,lakini inashindwa kuficha tabia zetu..!
Uko poa sana Kiongozi..!
Sijui unawezaje kuwa hivi aisee..!?
Ila kuna mashabiki huwa tunazidisha hisia zetu katika mambo ambayo yanahitaji "common sense"
Upo sawa mkuu,ila wengi huwa tunashindwa kwenda sawa na huo mfumo..!Pamoja sana mkuu.
Kuna mtu alinipa msemo kwamba 'usawa ni kutofautiana na kukubali kuziishi tofauti zetu'.
It is that simple.
Upo sawa mkuu,ila wengi huwa tunashindwa kwenda sawa na huo mfumo..!
Chief,umesoma shule moja na Malcom Lumumba au Humble African ?
Ila kuna mashabiki huwa tunazidisha hisia zetu katika mambo ambayo yanahitaji "common sense"
Huwa nasema kila wakati,hawa marefa ni binadamu wa kawaida sana,na hivyo kufanya makosa ni jambo la kawaida kwao...
Hii kitu haitokei kwenye mechi za Man City tu...
Msimu huu Salah amepewa penati zenye utata,nao wametoa pesa kwa waamuzi..?
Ahahaaaah,ila kuna kitu kingine nimegundua,siku hizi mashabiki wa Liverpool wanazifuatilia sana mechi za Man City na mashabiki wa Man City wanafuatilia za Liverpool pia,na Mashabiki wa hizo timu zote wanaombeana matokeo hasi...
Hao jamaa wako njema mpaka kuna muda huwa siwaelewi aisee...Hapana, dah hao jamaa viatu vyao ni vikubwa sana kwangu mkuu.
Ni moja ya watu na admire sana level zao za uelewa na jinsi wanavyowasilisha mada zao.
Very critical and analytical.
Humble African ana thread moja kuhusu elimu ya Japan na jinsi tunavyoweza kujifunza kwao, ile nimewahi kuitumia presentation fulani, nilionekana kichwa balaa.
Tuachane na hizo penati kwanza...No Salaha Penalties zote hazikuwa za utata na Zilikuwa halali kabisa!
Nadhani hukijui kilicholalamikiwa kuhusu Mo Salah...
Mo Salah alilalamikiwa kwa kuwa ni Mwepesi sana kuenda chini pale anapofanyiwa Faulo.
Lakini sio kwamba tumepewa Penalty zenye utata, Kwani hata kama alijilegeza kwenye kuanguka lakini alifanyiwa Faulo... Kwahiyo Maamuzi ya Refa yalikuwa sahihi isipokuwa maamuzi ya Salah kujilainisha ndiyo hayakuwa sahihi.
Kwahiyo kama utakuwa unakumbuka Wachambuzi wengi walielekeza Nguvu zao kumlaumu na Kumkosoa Salah kuwa anawaprovoke Mabeki wamchezee Faulo na kujilainisha kwenye kuanguka, Na wakapendekeza apigwe Ban..
Lakini hawakuwalaumu marefa na maamuzi yao.
But kwa City imekuwa tofauti...
Wao Makosa hayako kwa Wachezaji tu Bali yako kwa Marefa...
Kwamfano Sterling Jana yeye hata hakufanyiwa Faulo lakini Refa katoa adhabu... Hapa Refa anastahiki kukosolewa kwa Maamuzi yasio sahihi.
Man City wanapewa magoli ya Ofside mengi tu...
Kwahiyo Tofautisha Kati ya Mo Salah aliyefanyiwa Faulo lakini akajilainisha Kuanguka! Na Man City ambao hawaginyiwi Faulo lakini Wanadive na Kujiangusha.
Hao jamaa wako njema mpaka kuna muda huwa siwaelewi aisee...
Kila wanachokiandika kina make sense,hata kwenye utani..!
Kila kitu wanafuatilia,burudani,michezo,siasa na elimu (alafu wako deep kwelikweli)
Ahahaaaah, hao jamaa ni mwisho aisee..!
Siamini kama yote haya hayaoni na hata kama haoni mbona mchango wa mchezaji unaonyesha kabisa nini kafanya uwanjani?
Amsajili nani hafu aje ampange wapi labda?with Zizou back at Los Blonco n promised deep cash kuingia sokoni itabidi Klopp areact mapema sana target zake na asisubiri dirisha likaribie kufungwo....
Nakumbuka nishawahi kumuuliza Malcom Lumumba nifanyaje angalau kufikia hata robo ya uwezo wake...Kama ni Basketball tunaita all rounded players au siyo!
Centre, PG, SG, PF, SF zote wanakaba.
Huwa nawaza what does it take kufikia level zile, wako vizuri jamaa.
Na kuna humbleness unayoiona kwenye maandishi yao, kiasi kwamba unajikuta una admire personality zao kwa jinsi wanavyopresent content zao.
Inaondoa ladha ya sokaMan, not a fan of VAR..
But we really need it next season.