Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
True dat mkuu...nahisi hata mane nae atampita maana imebaki goli Moja tu!!!Aguero na Kane ni habari nyingine ishu wote pancha...Salah angekua makini na goli mpaka sasa angekua na 20+ Epl goals..
his dribbling is lacking final touch na pia ni kama makipa washamjulia anakopiga akikimbia na mpira zile goli za msimu uliopita hapati tena na mabeki nao wanakomaa mbaya hapumui..
Aguero na Kane ni habari nyingine ishu wote pancha...Salah angekua makini na goli mpaka sasa angekua na 20+ Epl goals..
his dribbling is lacking final touch na pia ni kama makipa washamjulia anakopiga akikimbia na mpira zile goli za msimu uliopita hapati tena na mabeki nao wanakomaa mbaya hapumui..
Ingawa tumeshinda lakini hata hivyo bado creativity ni tatizo kwenye Midfielders na ndiyomana Magoli yote unayakutia ni Front three ndiyo wanayacreate wenyewe na kuyafunga wenyewe.
Mido inashindwa kuwa-assist wafungaji.
Marekebisho bado yanahitajika
Ni UPUUZI mno kuchagua wachezaji wa kuwakashifu hata kabla game haijachezwa!
Ona sasa Lallana alivyo watia aibu ‘macho kuvimba’ leo!
Criticize wachezaji wako fairly itakupa sana heshima hapa!
We are Liverpool,in Klopp we trust!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kop [emoji23][emoji23]Naona mzee wa Klopp is better than Pep ushatia timu.
Nani hayaogopi Majogoo?
Ingawa tumeshinda lakini hata hivyo bado creativity ni tatizo kwenye Midfielders na ndiyomana Magoli yote unayakutia ni Front three ndiyo wanayacreate wenyewe na kuyafunga wenyewe.
Mido inashindwa kuwa-assist wafungaji.
Marekebisho bado yanahitajika
Aguero na Kane ni habari nyingine ishu wote pancha...Salah angekua makini na goli mpaka sasa angekua na 20+ Epl goals..
his dribbling is lacking final touch na pia ni kama makipa washamjulia anakopiga akikimbia na mpira zile goli za msimu uliopita hapati tena na mabeki nao wanakomaa mbaya hapumui..
Naona mzee wa Klopp is better than Pep ushatia timu.
Nani hayaogopi Majogoo?
Punguza ujinga hata kidogo ili uende mbinguni...kingereza kingi halafu unaongea pumba tu...Cant believe you’ve quoted a dude who thinks for a ST to be a top scorer ni lazima TEAM nayo ibebe Kombe.
Some people wanakuwa na weird opinions man.
I mean we all have our opinions but kwenye platforms kama hizi ni lazima ujue jinsi ya ku-limit the extent of your opinions, ili usionekane “ignorant” au “kituko” kwa watu wazima wenzako.
These people were calling Mane names when he was off-form earlier this season, and now they are worshipping him, fast-forward, Salah is off-form now and the same people are calling him names.
I hate these kinda fans.
n once we beat Fulham comin weekend more pressure to Ethad since wao wana FA come weekend...
Ni UPUUZI mno kuchagua wachezaji wa kuwakashifu hata kabla game haijachezwa!
Ona sasa Lallana alivyo watia aibu ‘macho kuvimba’ leo!
Criticize wachezaji wako fairly itakupa sana heshima hapa!
We are Liverpool,in Klopp we trust!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa naona kapunguza mihemko siku hizi.
What happened to him?
Punguza ujinga hata kidogo ili uende mbinguni...kingereza kingi halafu unaongea pumba tu...
Wapi mtu kasema ukiwa top scorer lazima timu ichukue kitu!!?uwe unasoma unaelewa kwanza sio unakurupuka tu!!!
Mtu akiwa anazingua lazima asemwe na anayefanya vizur lazima asifiwe Sasa unataka tusimfie mane tuendelee kumsifia Salah na mauxauza yote anayofanya una akili kweli ewew!!?
NB..tuliuliza mtu Kama atamaliza top scorer na timu haijachukua chochote sisi mashabiki tunafurahia nn!!?an weka kumbukumbu msimu huu hawezi kuchukua huo utop scorer kwa madudu anayofanya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Salah watu tunamtetea Sana ila kiukweli anatuangusha hata goli la tatu alikuwa ashazidiwa na beki ni juhud binafsi tu firmino kuuwahi mpira...
Sijui kwann roho yangu huwa inamkubali Sana mane kuliko Salah naonaga kama anapewa sifa kupitiliza ila ukiangalia upambanaji hapo mbele mane anapambana Sana...
Sent using Jamii Forums mobile app