Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
So far amecheza vizuri, i can't complainSo far lallana amejitahidi Sana tu..hata Kama hatumkubali lazima ifike wakat mchezaji anapofanya vizur tumpe haki yake...sio kwa sababu hajapangwa uliemtaka au mechi zilizopita alicheza chini ya kiwango Basi iwe ni kumkashifu tu huo sio ushabiki an ukiweka mapenzi binafsi hasa kwenye mpira utakuwa mtu wa kulaumu tu Kila kitu...
NB:wote hao Ni wachezaji wa lfc na Kila mmoja anahitaji kucheza nadhani hata waliowanunua wanajua Hilo ndio maana wanajaribu kuwapa nafasi wote..
Sent using Jamii Forums mobile app
AibuuuuuHana uzuri anaocheza he is shit as usual
Mimi siangalii turns zake bali ninaangalia creativity je anacreate nini?
I will not get blinded by his useless turns
Klopp hachelewi kumuweka benchi gini ili Hendo na Lalana wacheze woteHawa Pundits wanaomsifia Lallana kila mpira anaougusa si wanamponza Henderson? Coz anacheza nafasi ya Hendo!
Klopp hachelewi kumuweka benchi gini ili Hendo na Lalana wacheze wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure,.K
Klopp is just Klopp huyu hapangiwi na mashabiki wala ma pundits out there..
Kafanya kweli jamaa, kaona akina Keita na Shaqiri mahali panapowafaa ni benchiNa hilo ndiyo ninaloliona litakalotokea