Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nani hayaogopi majogoo?
All the blames should go to 'Robbie Fowler' He is the one who convinced me to be a Liverpool's Fan
Hahahahhahaha, Mkuu acha tu yaani yale maumivu ilikuwa hatari, mbaya zaidi ukiangalia your rivals wanateleza tu.Kwakweli Naanza kuhisi Maumivu yenu jinsi Mulivyokuwa mukijisikia Wakati wa Mourinho!
Kumbe mulikuwa Mukiumia kama hivi ninavyoumia Mimi kwa Klopp?
nilikuwa nakumbushia busara katika kuweka akiba ya maneno, mjomba...Many times I used to say sometimes stats misleading compared to reality.
Silver and Mahrez scored a goals too! What about this?
Fine! They are not in top 10! But any one of them has more assists in this season than GINI/Hendo/Milner/Lallan combined! Agree? So, what is your point?
The Gaffer kamuweka best ake Lallana midfield.
bhana bhana.
Kabla ya klopp ulikua unashabikia liverpool?Kwakweli Naanza kuhisi Maumivu yenu jinsi Mulivyokuwa mukijisikia Wakati wa Mourinho!
Kumbe mulikuwa Mukiumia kama hivi ninavyoumia Mimi kwa Klopp?
Sasa Keita na Shaqir amewasajili wa nini?lallana hapo ndio inatupa mashaka lakini huwezi kujuwa labda jamaa kafanya vizuri mazoezini tumpe chance akivurunda leo basi mwakani atafute team tu. inaonekana ni attacking katikati japo sina amani kabisa lakini tu support team yetu hii ndio Liverpool.
th Linesman ws right to deny th goal on for th Ref to give t man sure we need VAR.Y’all watching this City game?
City wanapewa goal la offside.
Been saying for ages kuhusu FA.