Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Bana with Klopp i wont be surprised vs Bavarians umuone Lallana uwanjani ndugu yangu..
to be frank i think Klopp wa Dortmund after losing his Mr Brain is going backwards..he has been wt this dead woods who add very little to th team since he joined..angewauza hata watatu anunue mmoja mwenye real impact sio bench warmer.
in terms of Club developing we are going in th right direction but if again tutaishia nafasi ya pili historia kwetu hua mbaya sana esp wt major players getting tired n departing hivyo tunaanza kujenga tena...bt as far as position we are he has done great great job kwa wachezaji wa kuunga unga compared to Citi..
n that defeat at Red start ddnt teach him anything abt team selection as u can see kwenye EPL bado anatwangusha..
without Allison magic hata hii last 16 tusingefika..he had th chance to wrap t at Red Start only for us to be humilated..
we are still in th race bt now t no longer in our hands we have to expect Citi to lose n we captilize n be ahead...hope mother luck is on our side.
kwa wanaomtetea wanasema he dropped deap where he control th rythm of th game...n make u wonder what rythm maana yeye yupo uwanjani like a headless chicken...
huyu ndogo ana nyota kali sana si utani..from Rodgers outcast na kuambiwa atafute timu to still be th CP is just luck while his output uwanjani is almost nothing in terms of critical passes or interceptions etc..
u wonder what does he play like mazoezini n be above Keita, Shaqir in team selection..only Klopp knows.
i guess when he signed th contract aliweka wazi his development ni pale Anfield..
he can be our new Fowler or Owen if his development is controlled properly..
but if expectation r that high he il fail as Woodburn
Mane? Mane tunamuonaga anakosa mara ngapi nafasi alizobaki yeye na kipa! Salah ni bora sana kuliko Mane katika finishing wengi wanalijua hilo mpaka ikafikia watu wakamuweka daraja moja na Messi sababu ya makali yake kwenye finishing
Sema Mane anakuwa bora kuliko Salah sababu ana first touch nzuri kuliko Salah, pia Mane anauwezo mkubwa kwenye ku'hold on to the ball' kuliko Salah, anauwezo mkubwa wa kumiliki mpira kuliko Salah
Ile chance ya kwanza aliyopata Salah kwenye mechi ya mwisho versus Everton pale ilikuwa bahati lakini Salah alifanya alichojitahidi, mnaonanga kuhusiana na kukosa ile chance mnamuonea sana nasema
Kuhusu mido najua ukweli unaujua kuwa Messi mafanikio yale makubwa yamechangiwa na uwezo,kipaji na moyo wa Xavi Hernandez, huwezi kutaja mafanikio makubwa sana ya Messi katika miaka yake 10 ya mwanzo katika soka bila kumtaja Xavi Hernandez ukifanya hivyo huo ni uchoyo wa fadhila, point yangu hapa ni kuwa utakubaliana nami kuwa mafanikio ya Salah msimu uliopita yalichangiwa sana na viungo wabunifu na wenye uwezo na wasio wachoyo ambao hawapo msimu na hapa nawaongelea Alex-oxlade Chamberlain na Philippe Coutinho. Msimu huu Gini na Milner ndio wanachezeshwa nyuma ya Salah kwa hiyo naomba nikuulize Gini na Milner wamempa Salah Assist ngapi
In the mean time...Chelsea say they are "astonished" after FIFA denied a request to freeze the club's two-transfer-window ban during an appeal.
Chelsea were banned from registering new players until the summer of 2020 for allegedly breaking rules on the signings of minors from abroad.
Ollochugga Oc, Southern Highland, Kimaro mna hali ngumu tuedako
Dude, bado hujamgundua huyo jamaa?
He’s targeting Salah ili kuficha ubovu wa tactics za Klopp (especially Vs Everton)
We created 2 chances vs The Ev, from a DM and a CB, CMs didnt create shit for 90 minutes, and he’s out here trying to tell us it was Salah’s fault we drew that game and justfying the subs of Milner and Lallana.
Stupid individual.
Lets see the out-come kuhusu The FA investigation kuhusuana na City.
Awful
If Salah was to blame and what about Hendo?
Hao jamaa wamechezea ledgers nini
AmeudiSome good news...Liverpool's Alex Oxlade-Chamberlain will return to action for their Under-23s against Derby County today after almost a year out with injury.
Awful
If Salah was to blame and what about Hendo?
Kuna siku atamlaumu hata VVD ili tu kuficha ubovu wa tactics za Klopp au uwezo mdogo wa kiuchezaji wa Henderson..
B2B midfielder, hana Hata assist moja with 9 games to go.
And you have people defending him.
Yes man
Need to see kitakachotokea
Man do not waste your time for brainless fan who know nothing about football but to defend Klopp and his fake captain at any cost
Mhh!Mane? Mane tunamuonaga anakosa mara ngapi nafasi alizobaki yeye na kipa! Salah ni bora sana kuliko Mane katika finishing wengi wanalijua hilo mpaka ikafikia watu wakamuweka daraja moja na Messi sababu ya makali yake kwenye finishing
Sema Mane anakuwa bora kuliko Salah sababu ana first touch nzuri kuliko Salah, pia Mane anauwezo mkubwa kwenye ku'hold on to the ball' kuliko Salah, anauwezo mkubwa wa kumiliki mpira kuliko Salah
Ile chance ya kwanza aliyopata Salah kwenye mechi ya mwisho versus Everton pale ilikuwa bahati lakini Salah alifanya alichojitahidi, mnaonanga kuhusiana na kukosa ile chance mnamuonea sana nasema
Kuhusu mido najua ukweli unaujua kuwa Messi mafanikio yale makubwa yamechangiwa na uwezo,kipaji na moyo wa Xavi Hernandez, huwezi kutaja mafanikio makubwa sana ya Messi katika miaka yake 10 ya mwanzo katika soka bila kumtaja Xavi Hernandez ukifanya hivyo huo ni uchoyo wa fadhila, point yangu hapa ni kuwa utakubaliana nami kuwa mafanikio ya Salah msimu uliopita yalichangiwa sana na viungo wabunifu na wenye uwezo na wasio wachoyo ambao hawapo msimu na hapa nawaongelea Alex-oxlade Chamberlain na Philippe Coutinho. Msimu huu Gini na Milner ndio wanachezeshwa nyuma ya Salah kwa hiyo naomba nikuulize Gini na Milner wamempa Salah Assist ngapi
Mhh!
Coutihno kaondoka January wkt Salah ana ba chache Liverpool
Salah kafunga bao nyingi mzunguko wa pili wkt Coutihno akiwa kaisha uzwa kwa kutumia mido hizi hizi!
OX alicheza mechi ngapi mwaka jana kabla hajaumia April?
Msimu unaanza OX hakucheza mpira alikuwa anaivishwa!
Xavi na Iniesta bado wapo Barca?Au Messi siku hizi hafungi sababu akina Iniesta hawapo?
Mkuu kuna kitu kinaitwa msimu mbaya,Salah kawa na msimu mbaya
Hata Messi au CR7 huwa inawakuta hii
Anakosa bao za wazi mno Salah
Poa ndugu, kushabikia Liverpool lazima uwe na moyo wa plastic si bure aisee inauma sana asikwambie mtu... ubingwa unaunusa huu hapa unapointi 7 zaidi ya anaekufuata aafu kila mechi zinavyochezwa ndio pointi zinazidi kupunguzwa kutoka 7 mpaka kua wa pili...sasa ishu ni pale kwa jicho la ushabiki tunaona timu ina wachezaji wa kuleta nema kwetu ila wanaishia benchi bila hata majeruhi ni wazimaa kabisaaa...
wewe ni shahidi mlivyopata wale majeruhi vs us ilikua Klopp chap alete Shaqir na Keita ndani wapeleke mashambulizi mbele maama game plan ya Ole ilshavurugwo pale na injuries matokeo yake kumbe Klopp alikuja kutafuta draw na si ushindi...
Msimuu tumona Hendo akicheza beki RB unajiuliza Klopp alimtoa Cylne wa mkopo bila plan B..
Mili pia amecheza beki kwenda mbele kusaidia penetration yupo hovyooo
matokeo yake tumepata draw karibia 8 kwa kua na team selectiom ya hovyo kabisa utadhani tunapigania kuingia big four na sio sweet EPL..
hivyo mwana Kop mwenzangu King binafsi namwelewa maana tukilikosa awamu hii basi tutapoteana endapo wachezaji nyota wataodoka..ma bosi wetu nk wawekezaji wenye mahesabu makali sana kwenye kununua wachezaji..
unajiuliza Ole kafanikiwa vipi kwa wachezaji wa kungaunga kushinda mechi 14 tangu ateuliwi..Klopp anashindwa nini..
tuedako panaogopesha..
[emoji23][emoji23][emoji23]I see nothing in this thread but shits from the so called Manure Fanboys resurrected by OGS from their Tombs! Hope soon they will be back where they belong (6th position).