Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unfortunately hatuna captain, nakumbuka Gerrard alivyomkazia Benitez kuhusu team selection.
Hendo is tooo weak cant ask Klopp to change anything when he knows yeye ni mmoja wao wasiotakiwepo uwanjani.

very important games we have "lost" at Manure n Blues jirani then Leicester n Hammers due to Klopp midfied choices...

utashangaa kumuona na msimu ujao bado yupo Liverpool tena akiwa captain..

unless we win trophies sioni all th gems in talents we have in Allison, VVD, Mane, Firmino, Keita etc wataodoka zao kwenda kwenye uhakika wa makombe..

we are walking in a very thin line.
 
We moved from Doubters to unstable Believers but now we are back from unstable Believers to permanent Doubters.

No single creature will make me to believe this Hitler's grandchild ever ever ever and ever again

Hahaha hahaha!

Umenichekesha sana mkuu.
 
For what I know Klopp will want to prove wrong hiyo makala na wote wenye mtazamo kama wa hiyo makala kwa kustick with his worst midfielders ya Gini-Fabi-Hendo/Milner/Lallana.

Wait and see
man hapo tu Klopp ndio hua anachosha..anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwa prove some pple wrong esp wakisema team selection...
angekua angalau anasikiza au ku consinder huo ushauri mpaka sasa tuna kombe hata la kahawa tangu aje liverpool...
 
KARMA is a Bitch. Itawatafuna next week
20190307_204211_rmscr-1.jpeg
 
man hapo tu Klopp ndio hua anachosha..anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwa prove some pple wrong esp wakisema team selection...
angekua angalau anasikiza au ku consinder huo ushauri mpaka sasa tuna kombe hata la kahawa tangu aje liverpool...

This man knows only to find out who is right, and not what is right.
 
Kwani Msimu huu hatujamfunga huyo Manure na Spurs?
Loser fools bhana

Wewe unajua umeifunga Man U wakati gani

Umeifunga kipindi imefungwa na Brighton, umeifunga kipindi imefungwa west ham...sasa Loser fools kumfunga United wakati huo haiwezi kuwa ajabu

Huwezi kuifunga kipindi hiki United imemchapa Arsenal, Spurs, Chelsea, PSG ugenini.... Nasisitiza Loser fools hamna uwezo huo

Kwanza mnaongelea kitu ambacho hakiwezekani. Hamna timu ya kuifunga Bayern ili muweze kuja kukutana na Man Utd kwenye hatua za wakubwa kama robo fainali n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hendo is tooo weak cant ask Klopp to change anything when he knows yeye ni mmoja wao wasiotakiwepo uwanjani.

very important games we have "lost" at Manure n Blues jirani then Leicester n Hammers due to Klopp midfied choices...

utashangaa kumuona na msimu ujao bado yupo Liverpool tena akiwa captain..

unless we win trophies sioni all th gems in talents we have in Allison, VVD, Mane, Firmino, Keita etc wataodoka zao kwenda kwenye uhakika wa makombe..

we are walking in a very thin line.

Honestly huwa nashindwa kumuelewa mtu anayeangalia mpira every week, na kumtetea Henderson or even kum-rate above other technical mids.

Been playing as 8 (B2B), tangu last season, meaning his main tasks are to press/link the mid and offer creativity to the forward line, but tangu last season mpaka sasa akiwa na more than 50 appearances amefunga goal 1 na ku-assist mara 1 tu, what kinda B2B midfielder is that? He offers nothing on and off the ball.
 
Ajax wont beat LFC in any way bro.

We need to beat Bayern. CL is so open right now.
In football anything can happen, if Ajax beaten R. Madrid, Man United reserve team has beaten PSG, whya Liverpool ambao mmekamilika kila idara mshindwe???
C'mon Liverpool we need you to win this tie so that quarter final kuwe na team 4 za England maana nina uhakika jirani yangu mwenye kelele lazima ambamize mtu next week.
So mwambieni Cop asilete wenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
man we lost to the Red Boys kaka with this players we have in Midfield cant gurantee Klopp will sail this UCL

Man, we started Lallana in the midfield at Red star, Klopp aliwadharau hasa baada ya matokeo ya Anfield.

The world saw what Ajax did to Madrid, you think atapanga kikosi kama cha Red star away or even taking them so lightly?

I’m biggest Klopp critic (biggest), but sometimes you guys are acting like he’s mid-table coach, Yes, he’s making a lot of mistakes and every LFC fan with brain lazima atakuwa pissed na his decisions etc, personally i despise his cowardliness and lack of balls. But we cant deny that as far as Liverpool football club is concerned, he’s doing a great job.

I’ll always criticise Klopp, will even go extra mile and call him names etc, because i know he’s much better kuliko anavyoonekana and zaidi nahitaji Klopp wa Dortmund at LFC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom