Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Spurs tayari ameshatoka nje ya Reli
in th meantime Southmpton 1 New Manure 0
City ana gemu mkononi + magoli mengi..Nasubiri kuona kama Brendan atafanya waliyofanya kina Pellegrini (kudroo na sisi), Rafa na Hodgson kumfunga City.
Otherwise City na sisi ratiba iko almost sawa. Tukitoa droo game 1 tu tayari tuko matatani.
Hahaha umeanza kupiga ramli mapema..Na Mwisho Ninaombea Mabaya Man City kwenye Mchezo Wake wa Leo.
Manake hamna namna kwa sasa
First Half we got what we want!!
But Second Half no one know what will happen
Sina Mashaka hata kidogo na Defence yetu ingawa Kuna baadhi ya Washabiki Hawamuamini MATIP lakini kwa upande wangu Matip yupo bora katika Kucheza mpira na kuanza Mashambulizi kuliko hata VVD..
Pia katika Kukaba hajamfikia VVD lakini yupo vizuri kuliko Lovren
Aha sikufahamu ilo ..Kama n mfuatiliaji mzuri. Chelsea pekeee ndio mwenye gemu mkononi
Sent using Jamii Forums mobile app
Akicheza city leo na nyie kesho nadhani mtakuwa sawa..Wala sio sisi tulio na game mkononi?
Aha sikufahamu ilo..Akimaliza leo na sisi tukacheza kesho tutakuwa na michezo sawa.
Chelsea ndiye ana games chache.
Aha sikufahamu ilo..
Nyie pambaneni na City sisi uku tunapambania top four..
Sent using Jamii Forums mobile app