Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukiondoa "emotions" you will believe it

Sent using Jamii Forums mobile app

You’re very wrong my brother..

Well, you should know kuwa LFC haina a natural creative AM (number 10), Firmino cant be virwed as a 10 now because tayari kishakuwa converted kama false #9. So we dont have that complete number 10.

With that being said, Klopp anatumia zaidi his fullbacks katika kutengeneza nafasi kutokea kushoto na kulia, hence he prefers zaidi offensive oriented FBs kuliko wale defensive oriented FBs,

Binafsi, sikuona tatizo na mid-3 aliyochezesha Klopp against you lot, but tatizo lilikuwa kwa Milner, i mean you have a complete Defensive MF, why deploy a negative player as RB, upande ambao anacheza Henderson (RCM), ambaye naye siyo creator or progressive passer, so kwa maana hiyo we had 2 negative players playing behind Salah, these players ndiyo walitakiwa wamchezeshe Salah kwenye ile right flank, so kwa mtazamo wako unadhani ilikuwa ni Sawa?

I mean, Luke Shaw, spent the entire 90 minutes man marking Salah, unadhani kungekuwa na offensive RB, Shaw angestick na Salah kwa muda wote?

Uliona set up ya OGS?



Hiyo diagram inaonesha kuwa, OGS instructed his entire team to use the left flank, reason ikiwa ni kuzuia kabisa robertson (ambaye ni threat going foward) asilete madhara kabisa hasa katik kupandisha mipira, hence ukaona Mane akirudi deep zaidi kutafuta mipira, because Andy was heavly targeted, meanwhile upande wa kulia, OGS let Milner atawale mpira huku akijua wazi kuwa jamaa hana madhara yeyote going forward (and, we witnessed the same), hence Shaw had a lot of time man marking Salah, kwasababu hakukuwa na hatari yeyote kwenye ile flank (poor crosses, misplaced passes, useless fouls, etc from Milner), Salah had no service, Mane had no service, Gini (our link up player alikuwa hapati mipira from either flanks), robertson was targeted, but what about Milner?

Nilisema hapa kuwa baada ya Mechi kuwa Klopp got out-thought by care taker managers, kwasababu ya hii kitu, it was so clear to see, Milner was useless kwenye game ile, and of all the managers in the world, OGS was the first one to notice that over the titles winning manager Klopp. That was a school boy mistake from Klopp.

Stats shows kuwa, Goal scoring ratio per minute ya salah ni 95 minutes akiwa na Trent and 135 minutes asipokuwa na Trent, yes Trent is not good defensively, but when you have three defensive mids at the park, unahitaji 2 attacking FBs on either flanks kusaidia katika kupeleka mipira mbele, especially in a 433.


I’ve seen a lot of bad performances from Klopp, but that was his worst managerial performance tangu aje LFC.
 
mkuu, hii hapa chini ni serious claim (esp hiyo kwenye red).
can you please substantiate with some pointers?

Yep, its very obvious man.

Klopp amebadilisha MF karibia kila game, because anataka kuridhisha baadhi ya wachezaji kwenye team.

anaogopa kumake “big calls”,

Gomez got partenered na VVD because Lovren was on international duties and Matip alikuwa majeruhi.

Robertson started to play baada ya Moreno kuumia.

Ox started to be a first name kwenye team-sheet baada ya Coutinho fake injuries na kuondoka.

In first three games klopp started with Keita, dropped him baada ya Henderson kurudi na kuwa fit after the WC.

It took him 4-5 months to trust Fabinho, and ilikuwa ni kwasababu respected people in the world football started to ask questions.

Kuna jamaa hapo juu anasema Keita yupo kwenye transition period, how? Kama ilivyokuwa kwa Fabinho, mchezaji anaimarika kulingana na game times, Keita amekuwa vizuri kwenye games zilizopita, yes bado kuna vitu havijakaa sawa (when and how to release the ball), but the quality is there, he need to be trusted and kupata mechi za kutosha.

He loaned out Clyne, ili kumpa nafasi zaidi Milner (game times) alisema James Pearce hiki kitu, kwasababu hana balls za kumweka Milner bench kwa zaidi ya game 5-6.

what is Lallana still doing at LFC? Why is Lovren still doing at LFC? Lovren hajawahi kuwa fit kwa zaidi ya games 6.

He wanted to remain with Karius, but pressure from fans, people within the club, pundits etc forced his hands.
 
We won games zote in december with a 2-man midfield (pivot). But tumerudi kwenye 433 and kumekuwa na dissapointing results nyingi.

Can you imagine, we’ve lost only 1 game this season, and City wamepoteza games 4 (correct me if am wrong), but tupo ahead kwa point 1 tu, and it feels like we’ve kinda bottled the league.

So painful man.

Need to win the next three games at a ll costs now.
 
...so this means Klopp is a piece of shiite then, right??
 
Nakubaliana nawe wa kulaumiwa ni Klopp but sio Milner na ndio maana nimekwambia tangu mwaka huu uanze Liverpool inacheza kwa kuvizia either Milner acheze fullback au kiungo.Last season OT magoli ya United yalipitia kwa TAA na dogo pia katoka majeruhi + OGS set up yake timu inashambulia kutoka kushoto kwa (Pogba +Martial) so he was right kuanza na Milner

I agree kuwa Klopp anatumia fullback kuanzisha mashambalizi but mashambulizi yanaanzia kushoto kwa Robertson sio kulia kwa TAA hata game ya Anfield magoli mawili mliyotufunga yalianzia kwa Robertson

Issue ya Shaw ku-mark Salah sio mpya last season Young pia alimficha Salah licha ya RB kucheza TAA (offensive RB),sijawahi kumuona Salah amecheza vizuri game against United zote huwa anachemka
 


No brother, TAA is our main creator kutokana na set up ya team yetu hasa kama tukiwa tunataka kucheza kwa kushambulia.


Yes, Salah got man marked na Young last season but his overall performance wasnt bad at all, he had chances. But game ya juzi salah was just shadow of himself, his worst performance in LFC shirt.

Yes, OGS anashambulia kutoka kushoto, kwa kutegemea pressing za Herrera/Matic from the middle, as Shaw is so bad going forward, so OGS uses Herrera/Matic pressing to free pogba and your transitional player Lingard. But both Herrera/Matic/Lingard/Matic hawakuwepo/waliumia first half, so why persist with Milner and 3 defensive Mids? And hata kama Herrera angekuwa fit, bado Milner alikuwa ni useless, because uwepo wa Milner ulimpa OGS nafasi kubwa sana ya kuoperate na kutengeneza counters, tofauti kama angekuwa ana-come up na good offensive FBs, OGS got killed by PSG kwa kutumia flanks, its so easy to provoke 442 kama unakuwa na offensive FBs on either sides. Milner didnt help us at all.

Trent stats.
 
hapo hapana ubishi Manciti was almost ready made for Pep he just put his system at work add a few players n th puzzle was solved..he is lucky to have that fat wallet there..

Klopp on th hand had to build from the scratch...n without the Sheikh cash at his disposal t long way to go to get where he want...

selling Coutnho must have also be a fresh thorn to his plans n then Buvac leaving when even Klopp admitted he is th brain behind th systems must have some impact...

now is for Klopp to draw a plan for the way forwad n win something, this investment made by Fentway aint just finishing top 4 alone, trophies must come.
 
Seeing how Hendo ranted to Klopp after that sub tells me that Klopp do "fear" the brexit na sio kingine...
as a professional football subs is part of the game, u just come off n wait for another day to shine...

Firmino is my best player of current squad...the boy il mek u sit on th edge when he is on song n wen out of form utachukia bt wen th gaffer signals atoke sub he always walk his head high cz he know that part of th game nothin personal...sasa Salah n Hendo were not at t na walivyotolewa ndio hizo bla bla..Klopp need to put his house in order..

infact sihitaji kumuona Hendo kesho 1st 11 if Klopp has th balls to show em who is th boss..

Clyne ws bad bad mistake maana Milie legs r tired sio yuleee,thus mashambulizi upande wake akicheza beki sio consistent...

Lovren is just a very average player anachokiona Klopp kwake anajua mwenyewe otherwise yeye n Lalana shold av been sold long tym..
 
Milner defensivly hakufanya kosa maana hatukufungwo goli hivyo siwezi kumnyooshea lawama....

ishu ya Milie ni kupeleka mashambuli mbele, ku strech Manu ili mfunguke na tuweze kupenyeza killer pass, pia hakupiga klosi za kuleta goli, pia hakumsaidia Salah kuwa na gemu nzuri maana alikua mzito kujiposition in th final 3rd n.k...na mengi ya kusema machache na hayo..

unavyocheza na timu anayo defend with 5 midfilders then u need ua RB/LB to assit in unlocking th opponents...Robi upande wake alikamatika haswa..so hii ingekua gemu ya Trent kushine maana wakti Shaw anamfuata Salah anakua kind of free to do some magic ila sasa gemu hii Shaw alionekana bora maana Salah hakupumua hata kidogo...

Milie miguu imechoka,

we needed Trent hata ile mipira ya adhabu naamini angefanya jambo maana ndogo yupo vzuri kwenye dead balls.
 
Kitu ninachopenda katika UZI huu bwana yani wakikwama tu wanachati kwa kingereza yani nachekaga

mtu kama mimi huwa napita nasubiri mpaka washinde kidogo ndo kingereza wanasahau hapo hapo

ha ha ha ha ha

cityzen chairman am here
 

i'm so sure, Hendo na Milner wont play tomoz, but they will be back against Everton
 
Walikuwepo game ya mwanzo wakala 3-1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i'm so sure, Hendo na Milner wont play tomoz, but they will be back against Everton
Watford is tricky opponent..am positive il grind a win in this fixture and being at home wt th fans pushing for a win.

Also Bobi might play seems th extent of his injury wasnt that dangerous..

wish even vs Neighbours wangekaa tu nje bana..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…