Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

damn true kabisa, wish Klopp could at least sit in his office alone n reflect what has he done for LFCin terms of equipping us with right playersin this windows he has bought n if he has th mentality to lift th EPL maana t like he has lost t...

na sahihi amenunua wachezaji wazuri tu Allison, Robertson, VVD, Salah, Chamberlin n.k....

sasa ishu kuu hapa ni pale kule mbele tupo tupo tu ni kama vile Buvac ndio ilikua eneo lake la ufundishangi kaodoka na magoli yake...hatufungi magoli kama msimu uliopita lakini vile vile hatufungwi magoli kama msimu uliopita...tumekwenda hatua moja mbele na kurudi hatua mbili nyuma...baada ya gemu ya Bono wengi tulijua aaa upepo wa ushindi umerudi lakini wapi...

kwenda Utd na kutoka draw si matokea mambaya lakini pale Utd ilivyopoteana leo ndio mtihani kweli...

tunakosa a real 10 wizard wa ku unlock this well threaded defences n midfield like UTD today or Bavarians...

tuna mechi na Evaton, Chelsi, Spurs, Bayan bila Klopp kuja na namna ya kuamsha front three kufunga tutakua na hali mbaya...

ukweli ni kwamba only Klopp knows what Klopp want maana kwa hizi dirisha zote alizopata na bado tupo na Lovren, Matip, Moreno, Hendo, Daniel n.k ni ngumu kumeza ndugu, hawa ndio sub wetu wa kuja kubadilisha mchezo tuking'ang'aniwa...look at CITI anatoka Sterling anaingia Sane, antoka De bruyn anaingia Silva, Gudgan, Kun anaingia Jesus n.k....hatuna depth in our bench to win us games if our front three wakipoteana basi tunakua hovyoo..

our midfied aint scoring goals to minimize the pressure on th front three...n our bench not equipped to lets th boys recover back thier mojo...

our back is strenched but so far holding tyt...cant complaim match cz this area has been shit for a long tym bt VVD, Gomez, Robo, Allison has made us strong there..need to add two real solid guys and we are good to go...

otherwise we seem damn stuck n a long way to go guys..
 
If my wish granted i would prefer such add-ons
Full back: bissaka and that leicester left back
Central back: in all our strength bring de ligt in our squad
Mid field: add depth to no 6, 8 go get fekir and or rabiot to our no 10
Fowards: first werner in as our no9, get mane a good back up zaha type?, sell salah to juve get dybala and some njululu for adding depth. Baada ya hapo klopp auze deadwoods zote tuamshe dude
kote hakufai
 
Kocha muoga hatushambulii tunavizia. All those years, you want to win and you play like arusha F.C. No fluidity in attack. Like we wanted a draw and man us wanted a win. Rogers alikosa tu defence, that young man would have won us the league. Damn Klopp. How do u train your players nowadays?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…