Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Pone pone yenu ni EPL tu huko kwingine pumzi imekata. UEFA mshatoka hamna nafasi tena. Sasa angalieni yasije yakawa kama yale ya kipindi kile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni kwa nini TAA not for RB, mid is fair maana hata tulie vipi Hendo is there to play this game.
All in all, it is ours to lose.
Hivi umepata wapi ujasiri wa kuja hapa leo wakati kwako una kibarua Cha Maangamizi?
Naona umefukua kaburi, hahaha!
Huyu kawaweza nyie tu, na hata nyie ni kwa sababu mko tia maji tia maji kwa sasa.
Hivi unadhani Klopp ana ujasiri wa Kuwaeka Juu Waingereza ?
Atatafuta nafasi yoyote awapenyeze hata kama kuwaweka nafasi ya Kipa.
Wakati Fabinho ameshakamata Namba basi Keita Amshukuru Mungu tu amalize Mkataba salama aondoke lakini sioni akitoboa mbele ya Hendo.
Na TAA avumilie Milner astaafu tu.
Wao wenyewe hawana uwezo wa kumiliki mpira. Nafasi kubwa mnayo nyie kuupiga leo. Mane asiwe kama alivyocheza na Bayern.Kikosi chetu hakina mtu wa hiyo kazi ya man to man.
Wao wenyewe hawana uwezo wa kumiliki mpira. Nafasi kubwa mnayo nyie kuupiga leo. Mane asiwe kama alivyocheza na Bayern.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri mkuuNgoja tuone game itakuwaje, ila kikosi chao siyo cha ajabu kabisa.
Though home court advantage inaweza kuplay role, lakini game itakuwa 49 kwao 51 kwetu.