Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kwa Team hii iliyofungwa mechi zote za uefa away, hata kwa Red bregade hamkupata sare, cha msingi mkazanie epl buyern hatolewi 16 ,wote tunajua lazima waingie robo, nusu ni culture yap. Nasepa mambo mengi mda sasa.......
Huyu Salah aliwekwa mfukoni na Alaba jana au Salah wa GSM?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Salah huyu huyu, mfungaji bora msimu uliopita wa Premier, mchezaji bora msimu mzima uliopita ! Unaswali la nyongeza ?Huyu Salah aliwekwa mfukoni na Alaba jana au Salah wa GSM?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Salah huyu huyu, mfungaji bora msimu uliopita wa Premier, mchezaji bora msimu mzima uliopita ! Unaswali la nyongeza ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Team hii iliyofungwa mechi zote za uefa away, hata kwa Red bregade hamkupata sare, cha msingi mkazanie epl buyern hatolewi 16 ,wote tunajua lazima waingie robo, nusu ni culture yap. Nasepa mambo mengi mda sasa.......
Lewandoski amewekwa mfukoni na nani?
Jana moja haiondoi achievement yake ya msimu mzima !Jana huo ubora wake mbona hukuonekana?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Is Lovren fit for manure?I don't care about yesterday! Ninachofocus right now ni our game at OT only.
Ahahaaah...Eti lazima aingie robo! Kwa taarifa yako tu, Tukifungwa away game kutokana na dharau za Klopp.
Lakin kwa sasa hilo hatutaruhusu, 0-0 bila kuruhusu goli stil ni matokeo mazur sana kwetu, Msala unaamia kwao ambapo hata tukiwapiga goli moja tu basi lazima wafe. This is liverpool.
Kiongozi,wewe haujuagi kabisa kuchanganya hisia zako na facts..!Yaani hiyo game nimejiweka kwenye mode ya kuomba droo, ingawa tunaweza kushinda lakini sitaki kujipa hype kabisa.
Sasa hivi kila game ya EPL naiogopa.
hello folks..Keita & Henderson were so good in the middle.
Gini was out of the game..poor display from him this season.
Kiongozi,wewe haujuagi kabisa kuchanganya hisia zako na facts..!
Ni kitu kigumu sana kukiona kwa mashabiki wa timu mbalimbali humu JF..!
Wengi wetu humu JF huwa tunafanya hisia zetu kuwa facts..!
Kama mshabiki kuna muda hisia lazima zikuchukue, ila uhalisia ni kitu muhimu sana kwa sababu inakuweka katika nafasi ya kukupunguzia machungu unapofungwa na timu bora zaidi yako.
Kuna vitu viko wazi, huhitaji nguvu kujua kwamba tunaongoza ligi kwa sababu za kibahati na si uwezo.
Kwangu mimi Man City ni the best EPL msimu huu, iko well balanced kila idara, kilichowakuta majeruhi ya KDB na Fernandinho ilikuwa bahati sana na tuliitumia vizuri December.
Man Utd ugomvi wa wachezaji na kocha ni bahati nyingine kwetu ilikuwa, naamini kama wangeanza na morale hii tungekuwa nao level.
The same to Chelsea, kocha kaja na mbinu mpya, watu wameisoma, kashindwa kubadilika, imeua morale kwa wachezaji sasa hivi wanapigwa tu, hiyo ni bahati nyingine pia kwetu.
Tottenham tumeachana nao points 5 tu, nao majeruhi ya key players yanawatesa, otherwise walikuwa na kikosi ambacho kina weight nzuri pia.
Liverpool tulifanya upgrade kwa VVD na Allison, partnership ya Gomez na VVD ilikuwa ni combination bora mimi kuwahi kuiona kwa beki zetu kwa zaidi ya miaka 10, bahati mbaya Gomez ni pancha mkononi.
You can see last year we had a very spectacular forward line, ilifunga magoli mengi sana, shida ilikuwa defense, this time defense imekuwa upgraded forwards hazifanyi yale ya msimu uliopita.
Now, majeruhi yameathiri defense, wafungaji wetu wameendelea kuwa butu, matokeo yake droo zimekuwa nyingi sana, unaweza kuona sasa hivi hata cleansheets hatuzisemi humu kama kipindi Gomez akiwa mzima.
Hali ilivyo sasa hivi hainipi amani kudhani eti nitashinda kirahisi game kubwa kama ya Man Utd, wakati Leicester na Westham wamenishinda, Crystal Palace anapata 3 goals.
Ndugu sijawai kusema Liverpool atafungwa anfield ni utamaduni wenu kushinda hapo hata wewe unajua ya kwamba ukiukosa ushindi anfiel hauwezi upata allianz wakati mwingine tuseme ukweli hata kama mchungu kwenye michuano hii ukitoka sare kwako unaelewa kushinda ugenini ni bahatiNadhani mumesahau kuwa hata jana mulisema Liverpool lazima afe...
Ulivyoongelea tu vizuri kuhusu Man U basi hii post yako ni nzuri....ni kati ya post moja nzuri sana......yan ulivyoongelea tu Man U, bas big Up sana...
Walikuja kutafuta draw na wamepata, Ngoja muende Allianz Arena ndo utamjua who’s Ndowski
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa mi sibishi....mlisema hivyo hivyo kwa bayern, mechi ikalia droo, saiv mashaka yamewashika kila kona. Ubingwa tunaeza kosa mara bayern kama kwetu walikuja na mpango wa droo au kushinda, sasa kwao itakuaje....mwaka wa 31 unatafutwa..yan liveepool saiv ni vurugu tupuHahaha, nyie tutawaziba mdomo tu.
Is Lovren fit for manure?
Sent using simu mbovu