Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
I don't care about yesterday! Ninachofocus right now ni our game at OT only.
Tatizo ni reality vs expectation tu hahahaaa kwaiyo unaweza hata kuacha kuangalia magoli ya Pogba??Yaani hiyo game nimejiweka kwenye mode ya kuomba droo, ingawa tunaweza kushinda lakini sitaki kujipa hype kabisa.
Sasa hivi kila game ya EPL naiogopa.
I don't care about yesterday! Ninachofocus right now ni our game at OT only.
You have said.but others never believe the message. I agree with you.I dont know about you guys..
But, we havent been so good away at home kwenye CL this season.
And, we will be away at Bayern ambao watahitaji goal moja tu ili kupita.
Hopes should be there in football, but sometimes reality matters the most.
I’m not a believer of the words “mpira hautabiriki” because football is and will always be a sport of chances, fail to take your chances and you’ll be punished.
We’ve a very tough game at Bayern, they’re not Porto, Roma, Napoli or PSG, ni big club yenye experiance kubwa sana. So no need kujipa false hopes now, instead, just wait mpaka siku ya game and iangalie kwa kufurahia what the players watakacholeta uwanjani mpaka mwisho. If we win then celebrate, if we lose then reflect on todays game and move on. thats football.
Let's hope for returning game the presence of Vvd may be will change the atmosphere.Keita & Henderson were so good in the middle.
Gini was out of the game..poor display from him this season.
They have songs (others), (we) have an anthem !Hivi kwanini game haiwezi kuanza anfield mpaka muimbe Songi lenu
Kwao watafunguka, ndio watamjua Mane na Salah !Nadhani ilibidi mshinde gem ya leo .vinginevyo sioni mkitoboa ujeruman
let's waitThe same record ilikuwa inatubeba home.
since when dude?OT game is ours, I got no worries
Au the late sala[emoji85]Huyu Salah aliwekwa mfukoni na Alaba jana au Salah wa GSM?
Sent from my iPhone using JamiiForums
True. Jpili is a tough tie ever.draw ya bila bila sio mbaya kabisa na mimi naamini kabisa uwezo wa kupata goal uko sana tu, approach yetu tukienda ibadilike na uwezo upo. kwa muda mrefu nimeona jana sign za Keita kuja kutulia vizuri jana ni moja ya game nzuri kacheza kwa kweli. kama wao wameweza kuja kwetu na kudraw sisi tushindwe kwa lipi? japokuwa mimi EPL ni muhimu zaidi mwaka huu na mechi muhimu na kubwa ni Jumapili itaamua season yetu kwa kweli ni lazima twende after Man u attacking tu naichukulia kama Final. Bayern team kubwa lakini hawatishi kihivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Team hii iliyofungwa mechi zote za uefa away, hata kwa Red bregade hamkupata sare, cha msingi mkazanie epl buyern hatolewi 16 ,wote tunajua lazima waingie robo, nusu ni culture yap. Nasepa mambo mengi mda sasa.......
Eti LAZIMA waingie robo fainali, bila shaka ulijua na jana LAZIMA watufunge,Kwa Team hii iliyofungwa mechi zote za uefa away, hata kwa Red bregade hamkupata sare, cha msingi mkazanie epl buyern hatolewi 16 ,wote tunajua lazima waingie robo, nusu ni culture yap. Nasepa mambo mengi mda sasa.......