Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Tatizo ni pale unapojipa matumaini hewa ya kushinda away katika big mechi.wakati msimu huu Liverpool katika mechi za top six sijajua kama mumeshinda mechi za away. Maana kwa kumbukumbu zangu ni
Man CTY away (lose)
Chelsea away (draw)
Arsenal away (draw)
Sasa sijajua hayo matumaini unayapata wapi
Hapa chini ni trend ya matokeo yenu mukiwa OT katika miaka ya karibuni. Na siyo kipindi cha Ferguson!View attachment 1020630
Sent using Jamii Forums mobile app
Rumours: Juventus to bid £175m for Liverpool's Mo Salah.
View attachment 1019762
Camp ya Marbella angalau ina tija kwa team kwasababu ni zone moja hali ya hewa inakua haiko tofauti sana japo Spain ni warmer zaidi ya UK ila huwezi kufananisha na Dubai.
Good news ni kujumuishwa kwa Brewster na Ox katika trip.
Haha ushabiki utakuua ww kama huwezi kashabikie hata mdakoUsiwalaumu,huenda wako sahihi kwa upande wao na vigezo wanavyotumia...
Kama mimi ninavyoamini ya kuwa huyo Steve Gerald alikua ni mchezaji wa kawaida sana (just another overrated English player),ukinibishia utakua una matatizo...
Kwasababu huo ni mtazamo wangu binafsi..!
Wee wapige tu ili kelele ziishe ..iyo ni kwa faida ya Chelsea, maana arsenal huwa asaidiki kabisa..Sasa ni kwa Faida ya nani? Arsenal au Chelsea?
Ushabiki gani unaozungumzia wewe shabiki wa rede..!?
...au tungemgongea mkewe !Bora ungelisema utamgawa Dadayako ingelipendeza zaidi.
Its seems deal ya Werner ipo mwishoni kukamilika..
lets hope ni ukweli.
Tusubiri.Bora ungelisema utamgawa Dadayako ingelipendeza zaidi.
Wamlete yule dogo watupe hiyo pesaa mbona me kwangu naona fresh tuuLiverpool news: Mohamed Salah transfer wanted by Juventus, Paulo Dybala swap deal eyed
LIVERPOOL could face a battle to keep Mohamed Salah this summer with Juventus determined to sign the winger.
By LUKE GARDENER
Here comes the always gossip come the end of the season...
Mo Salah could leave for Barcelona, Juventus or Real Madrid
The Serie A side are considering making a huge offer for the Egypt international.
Italian outlet Tuttosport claim Juve will offer €50m (£43.9m) plus Paulo Dybala for Salah.
The Liverpool star has been in top form once again this season, netting 20 goals and providing eight assists in all competitions.
Jurgen Klopp will be desperate to keep hold of his prized asset.
wala haina noma kabisa wakifika bei Klopp afanye kama kwa C10 chukua mkwaja chap na faster apeleke pesa tumchukue Timo au kwa Lacazatte mbele patakua motoooooo...Wamlete yule dogo watupe hiyo pesaa mbona me kwangu naona fresh tuu
Sent using Jamii Forums mobile app