Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Ni kwel mkuu asante sana kwa fadhila zakoTunaanza na psg j4.....tuna kaz ya kumlipa city fadhila kwa alichofanya kwa Arsenal na anachofanya kwa chelsea leo.
And they say he's better than SG8 lolSomebody better tell Pogba that, having a masterclass against PSG at home, isn’t for everyone
View attachment 1021013
Neymarless, Cavaniless PSG twanga Man Utd, Martial, Lingard injured... Pogba na kimbelembele yake Red card.. Kazi sasa ni rahisi kwa Liverpool.. Kichapo kwa mpigo.. Huyo ole mambo yake kwisha.. Ole must go ndio wimbo utaskia sasa ...eti Degea kufunga Old Trafford ni mwiko [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]sijui walikuwa emirates!!! [emoji849][emoji849]sasa mtaringa na nini??? Unbeaten kwisha... Naona mkirudi namba 6 after Liverpool gameKelele za United kwisha...
Usiwalaumu,huenda wako sahihi kwa upande wao na vigezo wanavyotumia...And they say he's better than SG8 lol
Ngoja tuoneand yet Gary Nevile n crew seem convinced whoeva wins at OT between Citi n Majogoo il be EPL winner in waiting...
from what i have seen we might as well both win at OT...
OT is not th decider of who is to be crownd EPL champion..
Poleni sana wazee wa Manure ndio mpira..
Ahahaaaaah...
Usiwalaumu,huenda wako sahihi kwa upande wao na vigezo wanavyotumia...
Kama mimi ninavyoamini ya kuwa huyo Steve Gerald alikua ni mchezaji wa kawaida sana (just another overrated English player),ukinibishia utakua una matatizo...
Kwasababu huo ni mtazamo wangu binafsi..!
hata David Beckham alikua mchezaji wa kawaida mbali alikua na nyota njema ya kua mahala sahihi na wakati sahihi...Usiwalaumu,huenda wako sahihi kwa upande wao na vigezo wanavyotumia...
Kama mimi ninavyoamini ya kuwa huyo Steve Gerald alikua ni mchezaji wa kawaida sana (just another overrated English player),ukinibishia utakua una matatizo...
Kwasababu huo ni mtazamo wangu binafsi..!
Liverpool fanyeni kweli kama Man United ..msituangushe kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Ollachuga utulie ndugu ushindi wangu dhidi ya Manure pale trafford unakuja haukwepeki, jamaa walijijaza upepo jana wamezimwa na kukumbushwa hawapo vizuri kihivyo...
huyi kocha wao alidai kikosi dhidi yako FA na dhidi ya Majogoo tayari anakijua hivyo yeye anapanga mechi 5 mbele baada ya kipigo cha jana sitarajii atoe kauli kama hio huku wakichezea vipigo..
Jumatatu FA mpige azidi kupagawa mpaka nakutana awe kashalewa yupo hoi...
sitarajii kumuona Lallana 1st 11 tena msimu huu, huyu aingie timu ikiwa inaongoza 4 bila dakika za lala salama na si kuingia kusaka ushindi.Hahahaha hawa ndo waje watufunge sisi? Labda kiwekwe kikosi cha wakina Lallana
Smfh..!!!Eti ukinibishia utakuwa na matatizo smh
Upo sahihi kiongozi..!hata David Beckham alikua mchezaji wa kawaida mbali alikua na nyota njema ya kua mahala sahihi na wakati sahihi...
wapo wachezaji wengi tu wa kawaida sana tunawaona..
Smfh..!!!
Sasa wewe ni nani mpaka uwapangie watu nini cha kuwaza..!?
MF..!!!And who is you unipangie cha kuwaza ...SMD
Tangu mmasai OLE akabidhiwe sime pale OT sio sehemu salama hata kidogo,kimsingi pale ndipo utakapo walk alone while Martial is running.
Sent using Jamii Forums mobile app