Loading...............100% connected.Lengo lako ni kumtoa Arsenal nje ya Top Four sio?
Msimamo halisi ni:
1) ......... Unknown (Kati ya Liverpool & Man City)
2) ......... Unknown (Kati ya Liverpool & Man City)
3) Spurs
4) Arsenal
5) Man United
6) Chelsea
CC: DullyJr , Ollachuga Oc & AROON
Huyu mpiga ramuli chonganishi ametoka wapi jamani,wapiga ramuli wenzako wanatafutwa na polisi,angalia usije ukakamatwa.Yaani katika timu ambayo sina hofu nayo ni hii chelsea na yule sarri wao yaani hapo walipo wana vipigo viwili ambavyo ni costant kama π.......kutoka kwa city na liver zote away hahahah baada ya hapo huo mporomoko wake sio masihara atajikuta anapigana vikumbo na kina westham kule
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kuongoza kigi na kutoa draw hizi mbili za hivi karibuni ndio kunawanya muongee yote haya huku mkijua fika kuna mechi 13 hivi za kucheza na citi tayari kashatuzidi mchezo huku tumelingana pointi,..Majogoo saiv yanawikia ndani ya banda hata kujipga piga bawa kabla ya kuwika hayawezi kwakua pumzi imekata hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa.. Jamaa kapigwa jungu lakini hata haelewi. Anajua kasemwa mwingine kumbe kasemwa yeye. Huyo wa kumzamisha mwenzake anashika nafasi ya ngapi.?kaka ndio maana nilisema hawa jamaa wazamishe Futuhi watulie huko msimu ujao..
Mkuu Southern umerejea, mwambie Kimaro asijipige ban humu bana ndio mpira ulivyo...Hahaaa.. Jamaa kapigwa jungu lakini hata haelewi. Anajua kasemwa mwingine kumbe kasemwa yeye. Huyo wa kumzamisha mwenzake anashika nafasi ya ngapi.?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1015142
Matumaini Ni makubwa mno. Wala ucijali. Livaluza msipojiangilia mtaluz Kila kitu msimu huu pia.January 29 tulikuwa mbele kwa tofauti ya alama 9. Ile goals different kati yetu na city tukaipangua yote. Tukawa tupo kwenye righ track, leo nashangaa tupo alama 3 na goals diff tumezidiwa 5.
Tangu Klopp alipomwamisha Mo Salah na kumpanga pale mbele badala ya kutokea pembeni kulia amevuruga kabisa ile trio yetu ya Mane,Bob na Salah. Salah alikuwa akianzia pembeni alikuwa anapandisha timu. Kwa sasa anapangwa kama mshambuliaji anabaki kuwa mviziaji akisubiri pass za mwisho ili afunge.
Tuna 3 tough games mbele yetu. Against bounemouth, Bayern na United. Tusipobadilika tunaenda kuaibika. Kumbukeni city kila game wao wanacheza kama fainal. Matumaini ni madogo kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha hao City wajipange maana point tatu tunazo sisi tayari.baada ya kusikia Ganaz wanakutuma hukooo Futuhi sasa umebadili ngia angani ni kusema utampiga Citi..
hayo ndio maneno Chuga sio kugawa au utoke draw utukomoe sisi...pambana kama Evaton jana japo kafungwo likini kiwango cha ushindani kilionekana kabisa...
Ubingwa ni wangu kupoteza, Klopp naamini atafanya jambo vijana warudi kwenye form ya kujikusanyia pointi kuanzia mechi ijayo bila kukosa..
Jumapili tutawashabikia tafadhali msituangushe.
Mkuu iyo nafasi ilishachukuliwa zamani sana. Kawaulize Arsenal nafasi yao ni ya ngap watakuambia..
Labda man united ya mbagala..#1 ni city,#3 ni utd hizo nyingine zitajipanga siku ya mwisho wa mechi za ligi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubirie mechi ya arsenal acheze tena vizurAnd Firmino, he's letting me down man
was a nuisance vs WH, all over the pitch
needs to wake up
Usichanganye EPL na vikombe vyenu vya zama za ujima uko..sipati picha pale Mei Majogoo tukikabidhiwa kombe la 19 EPL , kuna watu humu watakua wandogo kama pilitoni..
watajipiga ban wenyewe..