OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Man city ana point tatu tayari.Tuna game moja mkononi, ni sawa na Yanga ajitangazie ubingwa akat wenzake wana viporo vya kutosha.
We Are Liverpool.
Unataka wewe na Caraga kuaminisha umma kuwa Everton alikuwa na uhakika wa kumpiga City lakini kaamua kumuachia tu??Carragher alishayazungumza mengi kuhusiana na Everton linapokuja swala la Man City au Man United kubeba Ubingwa.
Sasa subiri vs game yetu uone watakavyokuja kuwa tayari hata kufa uwanjani ili tusiwafunge
Msimamo wa ligi utakuwa hiviwapo tayari kugawa pointi kwa Citi humu ila mradi sisi tuzidi kupoteana...
pazuri sasa ni pale wagawe pointi na Unai na jeshi lake wapambane mpaka mwisho kuingia Big Four..aafu hawa jamaa na wale mashetani weupe washiriki Futuhi...itakua zawadi murwa sana kwa mashabiki wa th Ganaz
Kawaida yao pumzi kukata,Kwahiyo Liverpool imebaki kuwa timu yakwenye museum!, lakini Kama Kuna ukweli fulani coz msimu huu watu tulijua anabeba ndoo ya EPL lakini dalili ziko wazi kuwa ameishiwa pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
#1 ni city,#3 ni utd hizo nyingine zitajipanga siku ya mwisho wa mechi za ligiMsimamo wa ligi utakuwa hivi
Man city
Tottenham
Liverpool
Chelsea
Man united
Arsenal
...
...
Au utakuwa hivi
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Tottenham
Arsenal
Au unaweza kuwa hivi
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
Man United
Arsenal
...
...
Kwa vyovyote vile Arsenal kuingia top four itakuwa ni ngumu sana. Yani ni kama vile hamna iyo nafasi kwao.
Ushauri wangu ni kwamba wajipange wajenge timu yenye ushindani atleast ya kushindana na Man city au sisi.
Kufungwa na Arsenal mbili mboña ni kawaida tu? Mbona nilimpiga tatu gemu ya kwanza? Bonamouth kanipiga nne. Ina maana ni wazuri kuliko iyo arsenal? City iliyomla home and away mimi nilimpiga mbili, na kesho kutwa namkung'uta tena uyo city.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo utamaliza wa 6 naomba mwezi May tutafutaneMsimamo wa ligi utakuwa hivi
Man city
Tottenham
Liverpool
Chelsea
Man united
Arsenal
...
...
Au utakuwa hivi
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Tottenham
Arsenal
Au unaweza kuwa hivi
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
Man United
Arsenal
...
...
Kwa vyovyote vile Arsenal kuingia top four itakuwa ni ngumu sana. Yani ni kama vile hamna iyo nafasi kwao.
Ushauri wangu ni kwamba wajipange wajenge timu yenye ushindani atleast ya kushindana na Man city au sisi.
Kufungwa na Arsenal mbili mboña ni kawaida tu? Mbona nilimpiga tatu gemu ya kwanza? Bonamouth kanipiga nne. Ina maana ni wazuri kuliko iyo arsenal? City iliyomla home and away mimi nilimpiga mbili, na kesho kutwa namkung'uta tena uyo city.
Sent using Jamii Forums mobile app
baada ya kusikia Ganaz wanakutuma hukooo Futuhi sasa umebadili ngia angani ni kusema utampiga Citi..Msimamo wa ligi utakuwa hivi
Man city
Tottenham
Liverpool
Chelsea
Man united
Arsenal
...
...
Au utakuwa hivi
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Tottenham
Arsenal
Au unaweza kuwa hivi
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
Man United
Arsenal
...
...
Kwa vyovyote vile Arsenal kuingia top four itakuwa ni ngumu sana. Yani ni kama vile hamna iyo nafasi kwao.
Ushauri wangu ni kwamba wajipange wajenge timu yenye ushindani atleast ya kushindana na Man city au sisi.
Kufungwa na Arsenal mbili mboña ni kawaida tu? Mbona nilimpiga tatu gemu ya kwanza? Bonamouth kanipiga nne. Ina maana ni wazuri kuliko iyo arsenal? City iliyomla home and away mimi nilimpiga mbili, na kesho kutwa namkung'uta tena uyo city.
Sent using Jamii Forums mobile app
#1 ni city,#3 ni utd hizo nyingine zitajipanga siku ya mwisho wa mechi za ligi
Sent using Jamii Forums mobile app
Majogoo saiv yanawikia ndani ya banda hata kujipga piga bawa kabla ya kuwika hayawezi kwakua pumzi imekata hahahahasipati picha pale Mei Majogoo tukikabidhiwa kombe la 19 EPL , kuna watu humu watakua wandogo kama pilitoni..
watajipiga ban wenyewe..
Amka upo kwenye ndotoMsimamo wa ligi utakuwa hivi
Man city
Tottenham
Liverpool
Chelsea
Man united
Arsenal
...
...
Au utakuwa hivi
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Tottenham
Arsenal
Au unaweza kuwa hivi
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
Man United
Arsenal
...
...
Kwa vyovyote vile Arsenal kuingia top four itakuwa ni ngumu sana. Yani ni kama vile hamna iyo nafasi kwao.
Ushauri wangu ni kwamba wajipange wajenge timu yenye ushindani atleast ya kushindana na Man city au sisi.
Kufungwa na Arsenal mbili mboña ni kawaida tu? Mbona nilimpiga tatu gemu ya kwanza? Bonamouth kanipiga nne. Ina maana ni wazuri kuliko iyo arsenal? City iliyomla home and away mimi nilimpiga mbili, na kesho kutwa namkung'uta tena uyo city.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nzuri#1 ni city,#3 ni utd hizo nyingine zitajipanga siku ya mwisho wa mechi za ligi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli
Msimamo wa ligi utakuwa hivi
Man city
Tottenham
Liverpool
Chelsea
Man united
Arsenal
...
...
Au utakuwa hivi
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Tottenham
Arsenal
Au unaweza kuwa hivi
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
Man United
Arsenal
...
...
Kwa vyovyote vile Arsenal kuingia top four itakuwa ni ngumu sana. Yani ni kama vile hamna iyo nafasi kwao.
Ushauri wangu ni kwamba wajipange wajenge timu yenye ushindani atleast ya kushindana na Man city au sisi.
Kufungwa na Arsenal mbili mboña ni kawaida tu? Mbona nilimpiga tatu gemu ya kwanza? Bonamouth kanipiga nne. Ina maana ni wazuri kuliko iyo arsenal? City iliyomla home and away mimi nilimpiga mbili, na kesho kutwa namkung'uta tena uyo city.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yankie mmoja shabiki wa Toffees niliona jana mchana anahojiwa Sky sport akaulizwe anataka timu gani ishinde kati ya City na wao
Akasema yeye ni ticket season holder wa Everton lakini anataka City ashinde na hana mpango wa kwenda kicheki game ya jana maana anaiombea majanga timu yake
Nikaona duh .... Kweli hii ni chuki ya Derby
Sent using Jamii Forums mobile app
we're mathematically top of the league.
we've lost the fewest number of games.
we've the best defensive record.
we've the second best "goal for" situation
and more interesting, even when in the midst of the so called "blip" at present, we're massively better than our closest title rival over the past 10 fames....
look at this stat below and let's continue believing towards landing our 19th league title.
View attachment 1015762
hadi leo haters wetu hawaamini kuwa tupo kwenye position tuliyomo.Na the most interesting ni kwamba City lost against Newcastle lakini hakuekwa out kwenye title race!!!!!
But Liverpool kudraw na West Ham everyone ametuweka out of title race.. Ridiculous!
Ukweli ni kwamba ni jealous tu kwa watu kuona mpaka February tupo top of the table jambo ambalo wanahisi ni mshtuko na si kawaida kwa Liverpool.