Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,592
- 81,575
Kwakua mnajua uwezo wao ni mkubwaYani leo hii sisi ndio tumekuwa wapiga ramli kwa Man City kila anapocheza?
Maisha yanaenda kasi sana.
Most neutrals even in Uk are divided on whose season is this...
Those who are aganist th mighty Reds claim by winning this EPL 'tutawakalia kichwani'..n they are worried what il turn to be Anfield fortress if even now without a trophy t th most noisy n wt proper football atmosphere anyday of th week..
guys are worried th 80 era is reality if only th boys picks momentum in th right tym...n that feeling alone sends any neutral aganist us to b damn scared...
Mighty Reds here we goooo
Kwani kucheza away ndo tufungwe mkuu.? Gemu ngap za away Chelsea kashinda? Sarri anajifanya fala ili kuwapa kichwa lakini matokeo tunayo sisi.Mkuu ..umeona eeh ...akifungwa huyo haonekani kabisa..mbaya zaidi anajiaminisha kushinda mechi za away wakati anajua kabisa kuwa ni ngumu kupata point Tatu..kuja siku nilienda jukwaa la Chelsea nikawaambia kama mzaha kwamba wana nyakati ngumu kwani mechi zote za top 8 watamalizia away ukianzia Arsenal, man city ,man utd,Liverpool ,Everton na Leicester city..kasoro mechi yao ya Tottenham tu ndio watakuwa darajani.sasa kutokana na ratiba hiyo wa naweza kukuta wanapeteza points nyingi na kujikuta wapo hata chini ya arsenal ila wakawa wakaidi.sasa now arsenal wamewaprove wrong.. Na city anafuata mwisho wa siku anajikutq anajibiga ban ya wiki isiyo na sababu..ndio shida ya kujipa matumaini hewa wakati unajua mambo Ni magumu kwao .so mkuu mzoee tu siku si nyingi atakimbia tena jukwaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumamos tunaeza muachia akashinda ..kwani vip? HahahahahaYani leo hii sisi ndio tumekuwa wapiga ramli kwa Man City kila anapocheza?
Maisha yanaenda kasi sana.
Na ni kweli tutawakalia vichwani tukichua everything will turn to red kuanzia social networks, streets mpaka vibanda umiza
If msimu huu ukienda sawa mpaka mwisho I sniff treble next season
City tutamuachia ashinde ..ili mzidi kupoteana.Anza na Citi ndio tuelewane ndugu...
Anfield pointi sahau kuchukua kwanza Sari ataingia baridi mapemaa maana mashabiki watakua motooo balaa nakuhahakishia pale unaposikiaga "Anfield UCL night ni shindaa" tunahimishia sasa kwenye Ligi..
wewe piga wengine hapa usijihesambie pointi..
Kwani kucheza away ndo tufungwe mkuu.? Gemu ngap za away Chelsea kashinda? Sarri anajifanya fala ili kuwapa kichwa lakini matokeo tunayo sisi.
Izo gemu zote tutashinda, tukiloose labda draw.
Sent using Jamii Forums mobile app
Everton leo watusaidie kwa kupata draw tu
Everton wakitutafutia draw tu inatosha sana
OK,nimeanza na arsenal tena muliwadharau na matokeo unayo so nitakuwa nakuhesabia mechi tu inayofuata ya man city.....kazi yangu itakuwa kukukumbusha tu ...and I wish there will be no excuse from you.!Kwani kucheza away ndo tufungwe mkuu.? Gemu ngap za away Chelsea kashinda? Sarri anajifanya fala ili kuwapa kichwa lakini matokeo tunayo sisi.
Izo gemu zote tutashinda, tukiloose labda draw.
Sent using Jamii Forums mobile app
duu kweli hunitakii mema, pazuri ni vile nae Citi anapigika na timu usichotarajia kama Leista, Newcasto, Palace...hivyo nyie mwachieni haijalishi matokeo kuna mechi nyingi tu mpaka mwisho wa ligi...City tutamuachia ashinde ..ili mzidi kupoteana.
Lakini bingwa anaweza akawa Tottenham.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man its us aganist them n them ni Manure, Gonaz, Hammers, Manshit n.k wameungana n now the very thots of us being th EP Lchampions s sending chills to em ndio maana wanaibuka na maneno mengi mengi ila mradi kutuvuruga...Na ni kweli tutawakalia vichwani tukichua everything will turn to red kuanzia social networks, streets mpaka vibanda umiza
If msimu huu ukienda sawa mpaka mwisho I sniff treble next season
Hahahaha kwamba sisi tuna ubia na hizo timu au..Comment ya Jamie Carragher inasema kuwa linapokuja swala la Man city na Man United kubeba Ubingwa, Blues wote (Everton & Chelsea) huwa wanatoa free 3 points katika viwanja vyao vya Nyumbani kuwapatia timu hizo.
Leo city anaongoza ligi na sidhani kama kuna timu itamtoa tena..duu kweli hunitakii mema, pazuri ni vile nae Citi anapigika na timu usichotarajia kama Leista, Newcasto, Palace...hivyo nyie mwachieni haijalishi matokeo kuna mechi nyingi tu mpaka mwisho wa ligi...
Comment ya Jamie Carragher inasema kuwa linapokuja swala la Man city na Man United kubeba Ubingwa, Blues wote (Everton & Chelsea) huwa wanatoa free 3 points katika viwanja vyao vya Nyumbani kuwapatia timu hizo.