rotation ipi mkuu??Imefika mahala liverpool hawawezi hata kufanya rotation ya baadhi ya wachezaji ....wamechoka pia wale..droo zikizidi kinachofuata ni kufungwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et amekutaget labda post zako zinamshawish kukuhoj mkuu.Come on man kuna utani na bullying/harassment. Kwanini umeni target mimi mda wote?
Wewe ni Mshabiki wa JF na sio Mshabiki wa Mpira
unaota mchana eeh... yaan mmebahatisha kutufunga mchezo mmoja kati ya tisa au kumi iliyopita unaota pembe???Game ya Man U ni crucial sana kwetu. Lazima tumchinjie pale pale kwake kwa hali yoyote.
[emoji23][emoji23]unaota mchana eeh... yaan mmebahatisha kutufunga mchezo mmoja kati ya tisa au kumi iliyopita unaota pembe???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, mi nafikiri ni ugumu wa game ndio unafanya watu wawaze rotation, hii ndio lala salama makocha lazima waumize akili kupata point 3rotation ipi mkuu??
yani Firmino na Salah wakae nje halafu Origi na Sturridge ndo waanze?? kumbuka hii ni lala salama ukipoteza points round hii ndo zimepotea hivyo hakuna marudiano tena.
Liverpool kwa sasa hakuna timu ya kufanya rotation labda wale waliomajeruhi wakirudi unaweza ukasema kitu.
ni Shaqiri pekee anaeweza akatokea nje na akakupa kitu kwa Liverpool ya sasa.
Poa man i'm yielding [emoji119][emoji119] Snipes we cool no offence mate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et amekutaget labda post zako zinamshawish kukuhoj mkuu.
kwa hakika bossKweli kabisa, mi nafikiri ni ugumu wa game ndio unafanya watu wawaze rotation, hii ndio lala salama makocha lazima waumize akili kupata point 3
mafanikio yanapimwa mwisho wa msimu broo huwezi ukajitapa sasa hivi eti mmepata mafanikio, yapi hayo ya kuongoza ligi kwa tofauti ya point saba hadi point tatu ndio mafanikio hayo?Chief...
Unapokuwa na mafanikio sana basi tambua unaongeza na idadi ya maadui...
Kipindi ambacho utawaona maadui zako waziwazi ni kipindi kile unapokutwa na changamoto zinazotishia mafanikio yako..!
Msimu huu Liverpool imekuwa na mafanikio sana kwenye EPL,mashabiki wa timu pinzani hawalifurahii jambo hilo...
Hivyo basi kwakuwa mashabiki wa timu pinzani huwafurahi kuona Liverpool inatakata pale Uingereza,wakiona Liverpool inapata matokeo mabovu ni lazima wafurahi na lazima wakuoneshe kuwa wanafurahia anguko lako..!
Kwahiyo Kiongozi,usishangae ukiona mashabiki wa timu pinzani wanakuja humu kuongea mbofumbofu pale mnapopata matokeo mabaya,usichukie pia..!
Ni mtu mnafiki pekee anayeweza kufurahia mafanikio ya adui yake..!
Mkuu inaonesha unaihofia sana mechi na Man United na Everton kuliko hata yenu na Chelsea na Arsenal, kwanini??Hii kauli sibadili hata Siku moja muhimu inukuu kama nilivyoisema!
Yani bado nasimamia kauli yangu "Iwapo tutamalizana na Man United na Everton tukiwa tunaongoza ligi hata kwa Point 1 basi sisi ni Mabingwa wa EPL 2018/19"
Mimi sio shabiki wa Liverpool broh...mafanikio yanapimwa mwisho wa msimu broo huwezi ukajitapa sasa hivi eti mmepata mafanikio, yapi hayo ya kuongoza ligi kwa tofauti ya point saba hadi point tatu ndio mafanikio hayo?
Hahahahaha bado unaendelea kuona.?Muhimu ushindi tu! Kama leo ninaziona 3 points za wazi kabisa
#YNWA
Mkuu uyo Salah na Shaqir Mara ya mwisho kufunga ni lini vile..??We need need to beat leicester convicingly so as we can show we are the real deal #YNWA
My prediction FT:3-1 to Liverpool (Salah,Mane and Shaqiri)
Hahahahaha naona kweli mulishinda nne.Kikosi kikali sana cha leo, lazima mtu afe kwa gap la kuanzia goli 4.
One goal and one assist for Keita.
YNWA
And now you have dropped four point bwahahaha ...Come on Boys
We need 3 point
Waambie hao vilaza maana Chelsea tukifungwa Chaliifransisco huwa hatoki ktk thread yetu kwa kiki ya "matokeo yenu tunayo Chelsea".Hahahahaha bado unaendelea kuona.?
Mumedondosha point nne mpka sasa..
Klopp amepanic..
Sent using Jamii Forums mobile app