Inauma sana kiukwel kikombe tunakipoteza hivihv kulikuwa kuna haja gan ya kumuuza clyne ilihal hatufanyi usajil wa mbadala wake na uhakika game ya united kama tutapata n point 1 tumebaki kusubir timu nyngne situsaidie kumtuliza city wakat ss wenyewe hatuonesh jtihada yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu hizi sare zimetusaidia nini,pamoja na man cty kupoteza dhidi ya new castle kaaumbulia point 3 ktk match 2 huku sie na sare zetu tuna point 2 gape linazidi kupungua alafu unajisifia kuwa man cty alishindwa pata hata sareKlopp atarudi na vijana Melwood tutajipanga mechi ijayo nyumbani!
Mwenzetu alishindwa pata hata sare hiyo ugenini kwa Newcastle!
Kajifunze kuandika acha porojoKama mlikua amjui sikh Conte alipofungwa zidi ya Man Utd akalia uwanjani sasa subilini nakwambieni ubingwa amuchukui kwa sababu punz amuna na mnatumia nguvu nyingi polenu sana sasa bado point 2 Man City akukamate View attachment 1013741
Sent using Jamii Forums mobile app
Unateseka vipi arif? Team yako iko wapi saa hii?Haha hahaaaaaaa...kwa mara ya kwanza leo hii ndipo nimekuona kukasirika.
Pole sana Chifu kwa matokeo mabovu ya Liverpool dhidi ya Westharm
Sent using Jamii Forums mobile app
we might as well find ourselv at 3rd position come end of th season...Klopp is Genius
Klopp is Genius
hawa marefa wa pembeni wapumbavu kweli, walitaka kumsaidia tena huyu kuku kishingo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole bana naona mnateseka sana
hahaha dont give up yet...Our race is over honestly
Tukutane may
Kila lenye heri katika ujenzi wa timu yetu
Mamaeeee mtskoma na kocha wenu Asiyejua kupiga mswakiKajifunze kuandika acha porojo
hivi we mwenzangu ni mwenzetu kweli au ni usalama wa taifa?yani unasema point 3 clear wakati kila tunavyoenda mbele tofauti inazidi kupungua kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauniAliyepigwa na Newcastle ugenini ndiyo kwako genius!!
Points 3 clear at the top
Haina ubaya wowote
Manciti going for treble...the man blew the FA cup on purpose to focus on the league., and this is what he brings onto the table
the end is rhetorical
Our race is over honestly
Tukutane may
Kila lenye heri katika ujenzi wa timu yetu
Loaning Clyne will prove to be the watershed if we dont clinch this shit.hahaha dont give up yet...
Jan n Feb have been Kloop spiral months...
tho vijana wanaonekana wamechoka balaa yaaani creativity haipo, without a proper RB tutazidi kuumia..umeona upande wa Robo ni kazi kazi mwanzo mwisho...