PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,313
painful to watch... this game.. less than 15 mins away.
Vip naomba mrejeshoHii gemu westham anapigwa nmechek missing players wa westham wachezaji wao wazur ni injuries kama nasri ..arnautovic ..lanzini
origin duu bonge la last chance
Aliyepigwa na Newcastle ugenini ndiyo kwako genius!!Klopp is Genius
Firmino anapoteza sana sana sana mipira.
Angalau hili Lallana limetoka
Disappointed tukikosa points 3 hapa
But life goes on
Firmino nje 😀😀
Bonge la soccer management
Nalala zangu mie yaani timu inataka ubigwa lakini haina hata winning mentality, mtanijuza kesho yatayojiri.
Majeruhi yametuathiri sana hasa Gomez na Wilj
Firmino wako kafanya nn humo dakika zote hizo kacheza?
Klopp anajua zaidi yako
Inauma sana kiukwel kikombe tunakipoteza hivihv kulikuwa kuna haja gan ya kumuuza clyne ilihal hatufanyi usajil wa mbadala wake na uhakika game ya united kama tutapata n point 1 tumebaki kusubir timu nyngne situsaidie kumtuliza city wakat ss wenyewe hatuonesh jtihada yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaa [emoji23][emoji23] tatizo nao wanabet siku hizi.hawa marefa wa pembeni wapumbavu kweli, walitaka kumsaidia tena huyu kuku kishingo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hahaaaaaaa...kwa mara ya kwanza leo hii ndipo nimekuona kukasirika.Damn