Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ili ubingwa mchukue msimu huu, fanyeni hili nalowaambia.....nendeni ofis za FA kesho zipo wazi muandike barua ya kiofis kua mnalazimisha kutaka ligi iishe leo hlf nyie sasa mtazilipa timu zote 19 fedha kulingana na nafas zao ambazo wangekua mwisho wa msimu...muanze na Arsenal ya 6 na Chelsea ya 5. La sivyo mtalipatia kombe kwenye bomba
 
Nalala zangu mie yaani timu inataka ubigwa lakini haina hata winning mentality, mtanijuza kesho yatayojiri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…