Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hahahah tuzidi kushikamana
kocha analalamika snow.. wakati hao hao Foxes wamecheza kwenye hiyo snow..
Sijaelewa ile trip ya dubai ilkua ni nini
Chelsea wanaweza, ila na sisi watatubania pia.
Sioni kama tutawafunga Chelsea.
Kwanza usijekushangaa tukapoteza points kwa Chelsea
man i watched that hairy kid today n my conclusion he is super better than our own CP.Guendouzi is better than Jordan Henderson.
damn its scary bttttt we might be heading thea if n if we put team selection based on affection of certain players at th experince of already proven winners case study Fabinho being benched wen ua immediate opponent get beaten previous day..Mara Paap Liverpool yupo nafasi ya 3 [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
shinda ya Chelsi ni mpaka kocha afoke ndio utaona reaction ya wachezaji, usishangae mechi ijayo Citi akawapiga mengi..Chelsea wanajua kucheza counter kama wakiamua, na ni bonge la silaha kubwa vs City na hata Liverpool.
Game za Chelsea vs City na Liverpool hazitabiriki kabisa.
shinda ya Chelsi ni mpaka kocha afoke ndio utaona reaction ya wachezaji, usishangae mechi ijayo Citi akawapiga mengi..
Kwanza usijekushangaa tukapoteza points kwa Chelsea
Chelsea wanajua kucheza counter kama wakiamua, na ni bonge la silaha kubwa vs City na hata Liverpool.
Game za Chelsea vs City na Liverpool hazitabiriki kabisa.
Kushinda Citi leo inamaanisha presha ipo kwetu maana anatupumulia mbaya bado pointi 2 tu...
kesho ugenini, hii presha twende nayo taratibu tu na kusaka ushindi tukijilesi tutaumia.
Huyu NABIR FEKIR ni bonge la midfielder jamaa anavyoi drive team kwenye kiungo ni hatari sana
vs Chelsea tunashinda mwezi wa 4 huko labda tupate majeruhi wapya kipindi hiki ligi itakuwa inaongozwa kwa tofauti ya 6pts
Kocha wao kasema atapambana mpaka mwisho kushinda ajikusanyie pointi tatu muhimu na awasaidie Manciti...Last trip tuliwapiga 4 hapo kama sikosei ngoja niombe zijirudie tuchukue point 3
Maana saa hizi ukikutana na wapinzani nashindwa hata kuwacheka