Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baba nimesema kwamba tupoteze mechi tushinde kombe ama umeamua tu wewe mwenyewe?? Nilichosema ni kwamba msikae hapa kudhani timu itashinda tu milele. Learn kwamba kuna kupoteza pia. Tusipoteze sisi Mungu ama? Spare some words asee. Too blamish! Sisi tuko vizuri kama City? Mbona kalose?



Sent using Jamii Forums mobile app

Yuo mean kulose kwa City ndiyo Criteria ya kuwa na sisi tuaccept defeat so easily? Are you serious?
 
Hai justfy bro ila kama imeshatokea tu focus kwa yambele. Leicester is mediocre team.
The same to Burnley and newcastle. Guys, tunaposhindwa mechi moja msilete kiama. Kupoteza kupo, si kwamba we are extraordinary. Cha msingi ni kutazama mbele asee. We fell.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
and, sunday tutakuwa tunaombea tena Arsenal amsimamishe City

wakati, we had our chances last night

tunasema kuwa, we need to focus kwenye games zetu tu, but when your main title rival is dropping points for fun, you need to take ADVANTAGE, thats what real winners do.
taking th chances when they come...Klopp is confusing us big tym man...

hard to swallow how th team ws step up to win the 3 points..
 
Ana akili za kushikiwa tu wala sizani kama kuna kingine Origi tumemuona mchango wake japo kacheza dakika chache zaidi Lalana kafanya kipi?
Kaka Lallana binafsi hua namuona kama kuku aliekatwa kichwa..yaani hajielewi anachokifanya uwanjani...

Origi atapiga klosi, atapiga vichwa, atapiga mashuti n.k...

hayo yote Lallana hayafanyi aafu ndio anaingia awe mleta goli...

kingine Klopp anatafuta heading za magazeti tu kwa kua na wachezaji flexible hivi Henderson beki kweli?? matokeo yake yameonekana..

kwa hali hii tutegemee vipigo.
 
Clyne wanted game-time and Klopp decided to loan him out because his ego wouldnt let him beg Clyne to stay until the end of this season. now he's forced to play midfielders at RB.

if city wins against Arsenal, gap itakuwa ni 2 points, so we will go at West ham on Monday knowing that City are few miles away, so expecting another shocking line-up from Klopp, its already scripted.
more shocking is when he complains of penaty not given..

City now il be motivated more than ever to reduce th gap..u cant expect other teams to do th job that we aint doing properly...

since mzunguko pili ianze yaaani tupo kama hatupo vile very soon tutavuliwa nguo...

kiburi cha Klopp nacho ni shinda, kwani lazima Henderson awe uwanjani? ingekua bora acheze Fabihno na pia Shaqir seems clicking akiingia super sub...

Clyne tutamkumbuka guys huu mkopo wake ushaanza kutugharimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom