Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hivi huyu Matip huyu...... anajua kuruka vichwa kwenye opposition box, lakini kwenye box lake mwenyewe bure kabisa.

VVD yuko kinyume chake na ndiyo sifa ya defender.

2nd half toa Shaq weka Origi + toa Keita weka Fabinho.
 
Ule mpira mlefu kwake VVD ndo kajichanganya kumuacha mtu nyuma
 
Baada ya kurudishiwa hili goli uzi umebakia kuwa na amani kwa sababu moja tu:
Chelsea kashaliwa kamoko
Spurs kashaliwa kamoko
Venginevyo pangelikuwa hapatoshi hapa
 
Ule mpira mlefu kwake VVD ndo kajichanganya kumuacha mtu nyuma
scorer alikuwa kwenye channel ya Matip bana!

halafu mpira umempita tu kichwani, angeruka hata kidogo kumpoteza scorer.
 
scorer alikuwa kwenye channel ya Matip bana!

halafu mpira umempita tu kichwani, angeruka hata kidogo kumpoteza scorer.
Labda nimeona vibaya kweli umempita Matip ila aliekua na Mangera ni Vvd nta angalia tena kama sipo sawa
 
Yani huyu Lesta anavyoliwa na Vibonde kiboyaboya huwezi kuamini! Lakini leo anajifanya kukomaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…