Acha kuongea utumboutumbo....jamaa ni jemedari la soka hakuna wa kufanana nae mpaka mwisho wa duniaJamaa alikuwa noma lakini hana sifa ya kuitwa GOAT
Hana cha maana alichofanya kwenye soka ukiachana na kufrahisha mashabiki kwa kuuchezea mpira
Na hii game itabidi mpambane hasaaaa yani nataka hao jamaa warudi mtaani kwao 7upKwani ulishawahi kuitabiria Liverpool ushindi?
Siku pekee utakayoitakia Liverpool ushindi kutoka Moyoni mwako ni siku ya Man United vs Liverpool ...
Hili lishakuwa tawi lenu maana linawapigania kwa kila Hali...hongereni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Jana alilewa au?Mumpige City? Kwani wamelewa!
Ninachojua ni kwamba Man City wamejitungia upinzani fake kwa Man United na Arsenal kuwa hizi wazigunge kwa namna yoyote ile.
Sasa chukueni hii na muitunze, kuanzia msimu huu Liverpool atabeba EPL msimu mingine miwili mfululizo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uliteseka eeeehhhh ndio soka hilo mkuu sometime unapambana kuweka heshima na rekodiHivi unakumbuka mwaka 2009 pale Arsenal Wenger aliposema anajua ni wa kuchukua ubingwa? Hatimae kwenye Mechi ya FA semifinal dhidi ya Chelsea Akawapumzisha key players wake wote kama kina Arshavin na Samir Nasri kwa ajili ya game Yake na Liverpool ambayo Arsenal alikuwa hagombanii chochote na akailazimisha kuitoa 4 - 4 tukakosa ubingwa.
Je Arsenal lilikuwa tawi la Man United au?
Malizia na maneno "KWA MARA YA KWANZA"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya maneno shombo mwisho meiMan City hawezi kupigwa na Arsenal hii, hata kama watacheza 8 ndani, na kuwe hakuna golikipa.
What if we lose tonight?Look at this
View attachment 1008491
Liverpool ana points 80
Man City ana points 71
But Liverpool ana michezo 35
Man City ana michezo 33
Hapo utaona tofauti ya points ni 9
Man city baada ya kukamilisha Viporo vyake Viwili alifika points 77
Hapo ikawa the real points kutofautiana kwao ni points 3.
Sasa hapo watu wanasema kuwa Mancity tulimuacha kwa points 9 lakini akatupota na kubeba ubingwa ikiwa imebakia michezo 3 tu,
Wakati ukweli halisi hapo ni kwamba ni points 3 tu na sio 9.
Lakini Mara hii ngoma ni different, tukishinda leo tutampita kwa points 7 safi huku tukiwa sawa kwa Michezo! That is why ninasema we'll be a champion of EPL 2018/19
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]huyo jamaa ndiyo zakeKwani ulishawahi kuitabiria Liverpool ushindi?
Siku pekee utakayoitakia Liverpool ushindi kutoka Moyoni mwako ni siku ya Man United vs Liverpool ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya maneno shombo mwisho mei
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna timu za kuisumbua Man city lakini siyo hiki kikundi cha wanyanganyi Arsenal hakiwezi kamweMan City hawezi kupigwa na Arsenal hii, hata kama watacheza 8 ndani, na kuwe hakuna golikipa.
Ndio raha ya hawa jamaa. Leo wataomba sana tufungwe. Tukishinda watasema mechi ijayo lazima mfungwe, hivyo hivyo wanashtuka washazeekaMay 2019 ikifika, utasogeza May 2020, nayo ikifika utasogeza tena.
LoserLabda ushinde njaa,,,,ligi ipo patamu sasa hivi aliye chini anataka kupanda aliye juu anakomaa,
Leo
Liverpool 0 Leicester 1
Wenzako Jana wameacha manyoya tu hahahaaaaaaaaaaa
Mbeleko,bahati ndizo zitawaponesha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tatizo by FT hutakuwepo hapaLabda ushinde njaa,,,,ligi ipo patamu sasa hivi aliye chini anataka kupanda aliye juu anakomaa,
Leo
Liverpool 0 Leicester 1
Wenzako Jana wameacha manyoya tu hahahaaaaaaaaaaa
Mbeleko,bahati ndizo zitawaponesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia na maneno "KWA MARA YA KWANZA"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app