Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kabla ya mechi niliandika Milner atakuwa 'out of pace early' kuna mtu akanibishia ila game ilitoa majibu, kuna umri ukifika huwezi endana na kasi ya uwanja
 
Kabla ya mechi niliandika Milner atakuwa 'out of pace early' kuna mtu akanibishia ila game ilitoa majibu, kuna umri ukifika huwezi endana na kasi ya uwanja

Mashabiki wa timu nyengine huwa wanatwambia kuwa Washabiki wa Liverpool wanaishi katika past.

Sasa nimeamini hilo kuwa we've some Fans living in the past.

Kwani wanakumbukumbu ya kuwa Milner alicheza vizuri kwenye LB season ya 2016/17 basi wanaamini kuwa mpaka Leo atakuwa na kiwango kilekile.

Kwahiyo wanahisi akicheza RB ataperform vizuri zaidi kuliko TAA jambo ambalo ni impossible.

Tukumbuke kwamba Age ni inversely proportional na talent ya mchezaji.

Now kumfanya Milner aendane na Pace ya Zaha, Sane, Son, Sterling, Martial, Auba ni kujitafutia death warrant kwa makusudi.

Zaha, Martial na Sane wana zaidi ya misimu 3 game ya Liverpool zinawashinda kwasababu ya TAA.

Kwasasa Millie awe ni Back up ya TAA tu mpaka mwisho wa huu msimu ambapo next season Camacho aandaliwe kuwa ndiye Back up ya TAA.
 
Mo diver hahahahahaha hilo halina ubishi jamaa ameanza kuwa kituko nowdays

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni kwa hili kwakweli munastahili paun88 m sio mchezo aisee ningekuwa nazo Mimi pale gunnerz ningekushusha huko ulipo....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


MPIRA PESA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni kwa hili kwakweli munastahili paun88 m sio mchezo aisee ningekuwa nazo Mimi pale gunnerz ningekushusha huko ulipo....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


MPIRA PESA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mazuri yanakuja baada ya kushinda EPL. Liverpool inarudi ile iliyoogopwa na kila mtu, ni suala la muda tu.
 
Acha uwongo wewe huyo Trent si alikuwepo katika mechi ya city na Sane alimburuza atakavyo......UNAJISAHAULISHA?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipingi na sibishi ila kiukweli jamaa anadive mno siku hizi,



Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ni maoni yako. Nikitetea sana utasema ni unazi.

Ila tuki base kwenye facts ni kuwa simulation ya aina yoyote huwa ina caution (yellow) na Salah tokea amekuja LFC hajakuwa cautioned hata mara moja kwasababu ya simulation.

Hata cautions za kawaida tu katika mechi 72 ni mbili tu. Hizo penalties alizo win ina maana kwa mujibu wa marefa alikuwa fouled, marefa wanajua ndio maana wanapewa dhamana ya kusimamia mchezo.

So Salah is a clean player. Hiyo over reaction ya Palace juzi isiwafanye wehu mkajitoa akili.View attachment 1002000
 
Jamaa wa ajabu sana huyo,Walimsema ni one session star now anawaprove wrong wanaleta maneno ya ajabu ana dive,waja hawaishiwi maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida sana chief, mti wenye matunda ndio ambao hupigwa mawe.

Unafikiri angekuwa 'one season wonder' kama walivyotarajia hata wasingejua kama alianguka kwenye penalt box sana sana wangekuwa wanaandaa makala zao za 'one season wonder' basi.

Sijui msimu ujao watakuja na kauli gani. Probably 'two seasons wonder' (kama ipo) [emoji851][emoji851]
 
Hahahaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawasawa usije hapa siku ukalia na hawa marefa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…