SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
Sure. Tuombe trent arejee na pia Gomez asee.hata Allison leooo duh nadhani position wise hakujapanga poa...
otherwise t was nice response by th boys, salute Henderson leo hajatwangusha without Gini there he has played well.
Keita is not clicking yet.
Mkuu hawa jamaa hua si watu wazuri kwetu.Ushindi umepatikana kibishi sana.
Crystal Palace walijipanga kutuharibia.
Kabisa mkuu pamoja na Gini.
Ni kweli. It doesnt matter, win good or ugly alimradi pointsKabisa mkuu pamoja na Gini.
kwa perfomance ya leo ni ujumbe tosha kwenda kwa City, ubinwa tunuuhitaji na hatutanii
Aisee kuna dalili ya ubingwa kama tukiendelea hivi
Can we say ni Gini effect ya kutokuwepo kwake leo.?
inaweza kua yes or not.
All in all palace toka comeback ya 3-3 2014 wamekua wagumu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
that th points tunahutaji ushindi haijalishi utakuja aje ni mwendo wa points 3 tu mpaka kombe la 19 litue.
Majembe yatakuwa yasharudi piathat th points tunahutaji ushindi haijalishi utakuja aje ni mwendo wa points 3 tu mpaka kombe la 19 litue.
Brighton, Crysto beaten next ni Foxes moto ni ule ule.
mkuu anakuja Fortress ya Anfield hivyo atapigwa tu endapo vijana watatulia kama leo naona point tatu muhimu zikibaki nyumbani.Hili gundu la hawa Palace tumshalimaliza, sasa ni mwendo mdundo tu.
Although next game nayo itakuwa ngumu coz Leicester City kapigwa, kwahiyo atakaza sana kwenye mechi yetu lakini TUTAMPIGA tu!
hahaha na pengine Klopp atatupa sapraizi na usajili tusiotarajia...
hata Allison leooo duh nadhani position wise hakujapanga poa...
otherwise t was nice response by th boys, salute Henderson leo hajatwangusha without Gini there he has played well.
Keita is not clicking yet.
huyu kakua sasa si Zaha yule wa Man U, kwa mentorship ya Klopp naamini ata shine sana.Wachezaji wengine level zao ni huko huko walipo. I believe Zaha hawezi kuja shine LFC.
sawa mkuu nimekwelewa, Klopp bana hua ngumu kumwelewa nwei siku akimpanga huo upande na akafanya yake naamini ndio itakua nafasi yake ya kudumu...Keita huo upande anaopangwa tutaendelea kumuona "mbovu" tu mpaka pale atakapopangwa nafasi ile aliyopangwa game ya kwanza dhidi ya West Ham United.
Nafikiri wote tuliona alichokifanya siku hiyo!
at the final whistle, I really can't find proper words to describe our extraordinary game vs C Palace today.
the only thing am able to say is we have won 4-3.
I don't see them losing a game anytime soon.
We just need to do our homework the right way.
#anythingcanhappen
Ila sawa. He will be a good squad player. Baada ya kutu terrorise kwa misimu kadhaa sasa nadhani aje tu ili atupumzishe ba pressurehuyu kakua sasa si Zaha yule wa Man U, kwa mentorship ya Klopp naamini ata shine sana.