loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
asante kwa constructive viewsIfikie wakati wakuu 'tukubali kutokubaliana' (agree to disagree). Tuwe gentlemen, kila mtu ana maoni/opinions zake kutokana na observations zake.
Hapo kwenye observations kila mtu anajua njia anazotumia ku observe na ku judge mambo fulani fulani. Hatuwezi kuwa wote sawa katika hili. Kila mtu ana njia zake hata kama tunaweza kuja na wazo moja ila sio katika kila jambo tutakubaliana.
Kikubwa ni kujua tu kuwa tunatofautiana na kila mtu ana opinions zake. Kuwa gentleman ni kukubali jambo hilo (we are different). Kama mtu ametoa maoni ambayo unaona huyakubali hamna shida 'kubali tu kutokubaliana nae' maisha yasonge.
Inapofikia hatua ya kuanza kuitana mara Liverpool halisi na majina mengine sio dalili nzuri katika mkusanyiko wetu huu ambao najua wote hapa ni watu wazima na waelewa sana.
Hatuwezi kuwa na makundi kati yetu wenyewe, ni dalili za kushindwa hizo. Imagine sisi kwa sisi tunavutana mashati na je hao wa Manure, Ass na Chelshit nao waje watuvuruge si patakua hapatoshi.
Hata kama kwa maoni yako mchezaji au kocha anakosea au humtaki na ni jambo lililo nje ya uwezo wako hakuna haja ya kupanic na kuanza kulumbana wenyewe na kuitana majina na kuhamishana team.
The best you can do is wish for the best (for LFC). Sometimes we see what we don't wish/want to see but we should keep calm because they are not within our capacity.
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
🇸🇭🇴🇼 FUN
