Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Relax sio relux mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo points yetu hasa!
Klopp ni good coach, but Pep ni best coach.

Tunachosema Pep ni Kocha bora kwa sasa kuliko kocha yoyote yule duniani na si kwa Klopp tu.
Hii ni kutokana na Mafanikio yake aliyoyapata kwenye timu alizofunfisha.

Hii habari za MUNGU MTU ni mipasho tu ya kike kutaka kuwaaminisha watu kuwa Klopp ni bora kuliko Pep kisa tu tunaongoza Ligi.

#YNWA
 
Hendo is very humble, very cool guy hana makuu at all a real professional n so easy to work with...

sasa hizo sifa alone cant win us th title yaani hapo ndio shinda ilipo, tunahitaji he deliver in n out ot th field na si kingine...

Kashapewa alot of chances bt yupo tu Hendo wa leo ndio wa jana na juzi no improvment n that not good enuff.
 
Kwa hali ilivyo naona City akiendeleza muziki wake wa ushindi kwa kasi sana.

Kitu muhimu ni sisi kudili na ratiba yetu, tukomae kwa kuendelea kushinda, hasa ukiangalia pia ratiba yetu siyo mbaya sana.
Mkuu upo sahihi, sisi tudili na ya kwetu haya ya City tuwaachie wenyewe mechi nyingi mno hivyo th two horse race just gettin started

next two games tupo nyumbani lets get back to proper winning ways.
 
numbers dont lie trophy wise Pep s th King, Klopp has some catching to do
 
Mkuu upo sahihi, sisi tudili na ya kwetu haya ya City tuwaachie wenyewe mechi nyingi mno hivyo th two horse race just gettin started

next two games tupo nyumbani lets get back to proper winning ways.

Sahihi, 4 points siyo nyingi kabisa, lakini tukicheza na mentality ya kudili na mambo yetu utashangaa points zinaongezeka.

Kitu muhimu ni kuhakikisha tunashinda game zote kabla ya kukutana na Man Utd, maana hiyo game ya Man Utd kuna hatihati ya kupunguzwa points.
 
ni bora kuliko wote duniani?ok
naomba nielimishe amempiku nini zidane? nimeuliza tu naomba nijibiwe kwa fact.
 
Tukiwekea Mido ya Gini-Hendo-Milner mbona tutapigwa hata 7-0 na Man U.
 
Tukiwekea Mido ya Gini-Hendo-Milner mbona tutapigwa hata 7-0 na Man U.
 
Hajawah kubeba makombe ya ligi 18, sisi tunayo tayar.

Hajawah kubeba UEFA 5, sisi tunazo tayar kabatini. This is Liverpool.

ni bora kuliko wote duniani?ok
naomba nielimishe amempiku nini zidane? nimeuliza tu naomba nijibiwe kwa fact.
 
Katika list iliyitoka jana ya Club Kubwa na tishio kwa sasa Europe.

1.Juventus
2.Barcelona
3.LIVERPOOL
4.Dortmund
5.Psg
6. Mardid
Etc...
 
Hajawah kubeba makombe ya ligi 18, sisi tunayo tayar.

Hajawah kubeba UEFA 5, sisi tunazo tayar kabatini. This is Liverpool.
Mtoto ambaye amezaliwa akakuta historia kwamba baba alikuwa na gari zamani haisaidii. Mtoto ataonekana mjinga akianza kujivunia historia wakati yeye tangu azaliwe hujawahi kumwona baba hata akiendesha hata baiskeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…