Clean sheet ya 13 sasa !Hiv kipa wenu yule leo angepigwa ngapi? Shukuruni mlijikuna kuna kila upande mkampata huyo beki mnayeringa naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nyie si timu tajiri. Mmeshindwaje kununua beki unakaa kulia lia hapaHiv kipa wenu yule leo angepigwa ngapi? Shukuruni mlijikuna kuna kila upande mkampata huyo beki mnayeringa naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na kufungwa ushangilie hata kama kuna mapungufu unayaona kabisa kwani Clop ni malaika asikosee?Very true
Eti usitukane timu ikifungwa ha ha haaa hajawai sikia watu wanapoteza hadi maisha nini kutukanaKuna watu akili zao bana, eti tumekuwa na timu hapa ikisuasua sua nk.
Hivi nyie jamaa maisha ni hapa JF tu! Kwa hiyo ushabiki wa mtu unaanzia siku uliyojiunga JF?
Yah yah man na huu ndio ukweli Mimi huwaga sichekagi na glory hunter, plastic fans.,... also known as washangiliaji maan ushabiki una maana pana.......Ukitukana wachezaji na Klopp team ikifungwa PIA usishangilie team ikishinda!
Mzozo wangu na Liverpool feki unaanzia hapo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haihitaji kwenda darasani kujua malafyale amemaanisha nini ktk ujumbe wakeKuna watu akili zao bana, eti tumekuwa na timu hapa ikisuasua sua nk.
Hivi nyie jamaa maisha ni hapa JF tu! Kwa hiyo ushabiki wa mtu unaanzia siku uliyojiunga JF?
Na hakuna timu isiyofungwa duniani.Kwa hiyo na kufungwa ushangilie hata kama kuna mapungufu unayaona kabisa kwani Clop ni malaika asikosee?
Mfano gem ya kipaji cha Keita ni cha kuingia bado dakika 5 kweli?
Basi hamna haja ya kufukuza makocha
Ni ujuha kutoa lawama kwa lile usilokua nanuwezo nalo kishindwa kupo tim zinashuka daraja na watu hawalaumu kwa kujua hawana uwezo wa kubakiNa hakuna timu isiyofungwa duniani.
Na sio kila timu inapofungwa basi wachezaji au kocha wanakuwa wamekosea muda mwingine kuna kuzidiwa uwezo,mbinu na bahati pia.......hakuna timu inayokwenda kwa dhamira ya kufungwa uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haihitaji kwenda darasani kujua malafyale amemaanisha nini ktk ujumbe wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu akili zao bana, eti tumekuwa na timu hapa ikisuasua sua nk.
Hivi nyie jamaa maisha ni hapa JF tu! Kwa hiyo ushabiki wa mtu unaanzia siku uliyojiunga JF?
Huyu anaitwa Loyal "Halisi" huwezi muelewa jamaa kama sio loyal kwa team anapokwambia klop anajua nini cha kufanya kuliko nyinyi usipomuelewa utakua na shida tu. but kikubwa ni kuwa mashabiki wengi hawawezi ku control hisia na kuwa wavumilivu. mahali popote conservatives wapo big up malafyaleSihitaji kwenda shule kujua alichomaanisha mtu asiye na logic, mtu anayeishi kwa akili za "Chochote atakachofanya kocha ni sahihi kwangu" au "Kocha hakosei".
Dah apa alitisha ..lakini aliotea tu.
hizi timu 2 (Manure & Spurs) zikija na mpira wa kitoto zinaocheza leo siku zikpambana nasi, i tell you itabidi siku hiyo FA waandae mipira 2 kwa ajili ya hat trick za Salah & Mane.
Tulipiga degea bao 3
Dah apa alitisha ..lakini aliotea tu.
Huwezi mfananisha na De Gea..
Sent using Jamii Forums mobile app